Wewe unayeoa kwa kuangalia kazi, tabia na dini unadhani kuna tofauti?

Ahhh pole wao wanakunya gold au
Na mbona unajijibu kila mtu anafata wa hadhiii Yale
Sasa iweje sisi utushaur tuoe bar med
Anzisha mfano ma ww kuolewa na teja
Tatizo linakuja kuwa wanawake sisi mara nyingine tuna mihemuko tupo emotional hivyo mwanamke ni rahisi kubadirika lakina wanaume wapo logic ngumu sana kumbadilisha mwanaume
 
Tatizo linakuja kuwa wanawake sisi mara nyingine tuna mihemuko tupo emotional hivyo mwanamke ni rahisi kubadirika lakina wanaume wapo logic ngumu sana kumbadilisha mwanaume
Njoo kwangu,niko tayari kubadilika miss
 
Kabla hujafikiria kubadilika uwe na pesa za kutosha kwanza
Irene malaya tu hana lolote , anataka kujifanya mtu mkubwa wa hadhi fulaniii hivii ,,, kwenda zako ... Kuliwa unaliwa tu na kubinuliwa na hadhi yako hyo ... Humu tukiaza kutunishiana hadh tutakimbiana ,,, wengne wa hadh zaid yako ila wametulia tuuuuuuu... ,,, wew wa elfu mbili ndo ujiite wa hadhi...
 
Kabla hujafikiria kubadilika uwe na pesa za kutosha kwanza
Kwa comment zako nilivozipitia Dada irine inaonesha kabisa zinakinzana na kile unachoshauri kwenye mada yako...

Inaonesha kabisa hata wew una bagua wanaume Wa kutoka nao, kulala nao, kuishi nao na pengine hata wa kupiga nao story..

Na inaonesha we ni MTU Wa kujikweza sana.

Ushauri ulioutoa ni mzuri sana lkn inaonesha hata we mwwnyewe unakuhusu.......seems huwezi kitoka na mwanaume Wa hali ya chini hata akupende VP,,,, correct me if am wrong
 
Back
Top Bottom