Wewe unayechart JF 24 hrs!!

Triple A

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
766
147
Jamani najiuliza sn lkn sipati jibu,kuna members hapa jf wanachat masaa 24! Swali ni kwmba huwa wanajitafutia rizki sangapi na muda wa kulala hamlali hapo inakuwaje?nisaidieni kwa hili plse.
 
unahisi humu rizki haipatikani? kuna watu ndugu yangu,wanaziacha hela ziwatumikie. learn from the best, let money work for u and nt vice versa.
kila la kheri
 
unahisi humu rizki haipatikani? kuna watu ndugu yangu,wanaziacha hela ziwatumikie. learn from the best, let money work for u and nt vice versa.
kila la kheri

sina uhakika sn na majibu yako kwn hata km ww ni mkurgnz fln nafikiri unahitaji mda wa kuwa ofcn kwako uangalie kaz inavyoenda!
 
kuna kazi nyingi ambazo mtu anaweza kufanya na ku chat 24.....

fikiria mmilikiwa hoteli au gesti.......anakaa tu kwenye ofisi yake......huku kazi zinaendelea...
 
u pay pple to do that for u as well..
when u get there u will understand i guess,lol
sina uhakika sn na majibu yako kwn hata km ww ni mkurgnz fln nafikiri unahitaji mda wa kuwa ofcn kwako uangalie kaz inavyoenda!
 
Si lazima tutajane majina humu ndio ujue nani nanani wanakesha,thred zinaonyesha coments na muda!
 
Its a good observation!
Ila;

1. Inabidi kuwa na uhakika kuwa member yuko masaa 24 na wewe uwepo masaa hayo hayo kushudia activities zake in real time
2.. Kuona tu! Jina lake linaonyesha yuko online bila activness haidhibitishi kuwepo kwake nyuma ya computer yakea
3. Wewe unamchukuliaje mtu anayekaa hapa 24hrs?
 
kuna kazi nyingi ambazo mtu anaweza kufanya na ku chat 24.....

fikiria mmilikiwa hoteli au gesti.......anakaa tu kwenye ofisi yake......huku kazi zinaendelea...

hata kama unasimamia vyote hivyo inamaana huyu mtu kazi zake zinaenda tu bila ucmamiz wwte?
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom