Wewe unatumika tu

GOTILANGU

Senior Member
Aug 23, 2013
182
46
Mtaji wa wanasiasa ni binadamu na hata maisha ya hao binadamu ili kufanikisha malengo yao na hasa malengo mabaya na kila mwanasiasa anapotumia watu na maisha ya hao watu jua siasa imekuwa ngumu: TUSHITUKE VIJANA TUSIKUBALI KUTUMIKA INATOSHA TUJENGE TAIFA LETU MAISHA NI MAZURI SANA KULIKOKUTUMIKA KISIASA
 
Back
Top Bottom