kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,703
- 20,606
ndiyo izo izo ndiyo huwa za kwangu sasaMbona hizo bila kuambiwa kwa Mtu anayejua saa anajua kabisa ni fake..
ndiyo izo izo ndiyo huwa za kwangu sasaMbona hizo bila kuambiwa kwa Mtu anayejua saa anajua kabisa ni fake..
GshockJe wewe unapendelea saa Brand ya aina gan ya mkononi me napenda Rolex wewe je karibuView attachment 395914
Ni Rolex Submariner Boss nadhani hapo kila kitu kinaonekana.... Kuhusu Bei siwezi kujua Zaidi.. Ila Niletewa zawadi.
Part No. Ndiyo ipi hiyo Mkuu.. Ni ile inayokuwa Pembeni.. Au ile iliyopo kwenye Mkanda..Ungeweka na part number yake ndio inakua rahisi zaidi kuitambua.
Ila jua tu mkuu Rolex submariner ya pesa ndogo kabisaa inaanzia kuuzwa kwa bei ya $5000 yaani kama Million 11 na ushee za kitanzania.
So kama mtu alikupa zawadi ya saa yenye thamani ya pesa hio mthamini sana.
Mkuu labda nikuulize, zaidi ya kuangalia mda, hizo namba zingine kwenye hiyo saa, mfano 180,240, 25,30,35 etc zinatumika kufanyia nini?
nimo humoooo ila huo mkwaju lazma niutafutee... Cassio edifice... Simple and elegant.
Wanawake bana, hiyo bei gani?!View attachment 445790
Mimi naipenda sana hii sababu nilipewa na wife siku ya send-off yake.
Part No. Ndiyo ipi hiyo Mkuu.. Ni ile inayokuwa Pembeni.. Au ile iliyopo kwenye Mkanda..
Na kuhusu Kumheshimu aliyenipa hii Saa.. namheshimu sana.. siyo saa tu.. ni vingi amenipa na Amefanya Vikubwa vya Thamani kwangu... Kuna wakati tunagombana.. Ila kwa kuwa kila mtu anafahamu umuhimu wa Mwenzake.. Tunajishusha na Maisha yanaendelea kawaida..
Hio safi sana mkuu.,all the best.
Ni ile iliyopo pale kwny ile sehemu ya mikanda ya saa.
Natumia hiiJumapili nikienda church natupiamohii.
Natumia hii