Wewe unaedai unamp

Mtama

Member
Nov 8, 2010
63
0
Umemtamani mpenzi wako au umempenda??Umevutika kwake kwa sababu,ana miguu mizuri?Au ni englishfigure?Au ni handsome au ni tajiri,au ana makalio mazuri,au ana rangi nzuri,au anatoka famij tajiri,au umechaguliwa na wazazi?Kama uko na huyo unaemuita mpenzi wako kwa moja kati ya sababu hizi au nyingine za kufanana na hizo wewe ni fake tena fake!!!!Hizo sababu ambazo hazina mashiko,zikiondoka hizo sababu anakosa maana,TAFAKARI
 
mbona wote ndo tulivyo au kusema we mtama ni watofauti, hakuna wa mapenzi ya kale wote hapo ni DOT com love.............sijui labda wewe tu ndo umebaki huku duniani.
 
Umemtamani mpenzi wako au umempenda??Umevutika kwake kwa sababu,ana miguu mizuri?Au ni englishfigure?Au ni handsome au ni tajiri,au ana makalio mazuri,au ana rangi nzuri,au anatoka famij tajiri,au umechaguliwa na wazazi?Kama uko na huyo unaemuita mpenzi wako kwa moja kati ya sababu hizi au nyingine za kufanana na hizo wewe ni fake tena fake!!!!Hizo sababu ambazo hazina mashiko,zikiondoka hizo sababu anakosa maana,TAFAKARI
A true love has no a reason, but it is associated with unlimited and unconditional forgivenesses...!
 
Umemtamani mpenzi wako au umempenda??Umevutika kwake kwa sababu,ana miguu mizuri?Au ni englishfigure?Au ni handsome au ni tajiri,au ana makalio mazuri,au ana rangi nzuri,au anatoka famij tajiri,au umechaguliwa na wazazi?Kama uko na huyo unaemuita mpenzi wako kwa moja kati ya sababu hizi au nyingine za kufanana na hizo wewe ni fake tena fake!!!!Hizo sababu ambazo hazina mashiko,zikiondoka hizo sababu anakosa maana,TAFAKARI

hapa hoja ni kutamani ama kupenda, ndo issue inaanzia hapo,

na inategemea....mwanaume au mwanamke....manake wengine wanaanza kwanza kutamani kisha wanapenda, wengine wanaanza kwanza kupenda kisha ndo wanatamani.....na hayo yanategemea mazingira na maadili/malezi ya wahusika

mfano kwa wanawake wanategemea kwamba watapendwa kwanza kisha habari ya kumegana baadaye, wakati kwa wanaume, huwa kwanza tunaona, tunatamani kisha mapenzi yanaota!

Muhimu ni kuelewa hizi dynamics ili kusiwe na dissapointments baadaye. Ndo maana naona vigumu kutenganisha kati ya kupenda na kutamani, of course kuna factors nyingi zinazopelekea watu kutamaniana na kupendana...sio moja tu..
 
Kiukweli hakuna mahusiano kati ya kupenda na kutamani,hivi ni vitu viwili tofauti,ili uelewe inahitaji muda na nafasi ya kutosha ndo maana nimesema ukiwa na mtu kwa sababu nilizotoa hapo juu wewe ni fake!!!!
 
Back
Top Bottom