Wewe una kipaji/vipaji gani?

Jo Assistant

Senior Member
Jun 20, 2014
195
197
WEWE UNA KIPAJI/ VIPAJI GANI?

Habari wadau.
Kuna mtu mmoja niliwahi kumsikia akieleza kuhusu aina 7 za vipaji. Sikufuatilia sana lakini naamini kuwa kipaji kinaweza kukusaidia kutimiza kusudi la kuwepo kwako hapa ulimwenguni.

Aina 7 za vipaji:
1) Ubunifu
2) Muziki
3) Hesabu
4) Picha
5) Lugha
6) Mahusiano
7) Michezo

Mimi binafsi, nimegundua kuwa nina kipaji cha ubunifu.
"Wewe una kipaji/ vipaji gani kati ya hivyo?"
quote20200802231412.jpg


Hivi karibuni pia, niliona mtu fulani akitaja aina nyingine za vipaji kulingana na tafiti zake na mtazamo wake (kwamba kuna aina 21 za vipaji).

21 TYPES OF TALENTS
(AINA 21 ZA VIPAJI)

Art
Creativity
Credibility
Confidence
Decision making
Design
Design Thinking
Influencing
Knowledge
Leadership
Personal presence
Personal resilience
Problem solving
Professionalism
Public speaking
Self direction
Self Management
Story telling
Strategic thinking
Systems thinking
Visual design

 
Back
Top Bottom