Wewe uliyetudanganya kuwa tukiweka dawa ya meno kwenye uume tutapata matokeo chanya Mungu anakuona. Mkuyenge wangu ulikata moto.

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,480
35,377
Hi gentlemen & ladies!
Kama sitakosea ilikuwa 2019 mdau mmoja humu alitupia uzi au alichangia kwenye uzi fulani uliozungumzia jinsi ya kuboresha tendo la ndoa.
Alielezea kuwa ukichukua mafuta ya mgando kidogo ukimix na dawa ya meno kidogo kisha ukimpaka dula kichwa wazi basi utapata raha ya kufa mtu pamoja na mwenzi wako.
Nilifanya hivi mara kadhaa. Baadaye ngoma ikagoma. Nikahisi kawaida labda kwakuwa wife nishamzoea. Siku moja nilimpata mtoto mmoja wa Kigogo mmoja mtoto kimwonekano sio mzuri ila ana chungu kitamu balaa.
Pamoja na ukali wake niliishia kula tonge moja tu. Kila akinichezea bila bila, nilipata aibu sana. Nikachukua simu nichek x ili nibusti bado bilabila.
Aisee sirudii tena kutumia dawa za kuongeza ladha.
Nimejitibu sasa nimepona.
Vijana turidhike na mapenzi, tusisikilize story za vijiweni.
 
Muachage kubeba Kila takataka humu , humu tuna watoto wengi siku hizi wahenga ni wachache wenye vitu kuntu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hi gentlemen & ladies!
Kama sitakosea ilikuwa 2019 mdau mmoja humu alitupia uzi au alichangia kwenye uzi fulani uliozungumzia jinsi ya kuboresha tendo la ndoa.
Alielezea kuwa ukichukua mafuta ya mgando kidogo ukimix na dawa ya meno kidogo kisha ukimpaka dula kichwa wazi basi utapata raha ya kufa mtu pamoja na mwenzi wako.
Nilifanya hivi mara kadhaa. Baadaye ngoma ikagoma. Nikahisi kawaida labda kwakuwa wife nishamzoea. Siku moja nilimpata mtoto mmoja wa Kigogo mmoja mtoto kimwonekano sio mzuri ila ana chungu kitamu balaa.
Pamoja na ukali wake niliishia kula tonge moja tu. Kila akinichezea bila bila, nilipata aibu sana. Nikachukua simu nichek x ili nibusti bado bilabila.
Aisee sirudii tena kutumia dawa za kuongeza ladha.
Nimejitibu sasa nimepona.
Vijana turidhike na mapenzi, tusisikilize story za vijiweni.
umejitibu vpi mkuu?Hebu Share Nasi pls.
 
Tamaa mbele mauti nyuma. Mpini ukivunjika hakuna kulima.. Kula kwa macho tu sasa
 
Nibadilishe lifestyle ya kula au kulala kisa ngono? Haujanikamata bado
 
Siku nyingine usome mpaka mwisho.
Jamaa alisema dawa ya mswaki Ni kwa matumizi ya laini za tiGO tu Tena nyama nyama, kamwe haitumiwi VodaCom.
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom