Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,270
- 8,031
Mara nyingi wanasiasa na wanahabari huwagawa wananchi katika makundi haya:
Tabaka la Juu
Tabaka la Kati
Tabaka la Chini
Mwananchi wa kawaida
pia nimeambiwa na mshkaji wangu wa Nairoo kuwa kuna
Tabaka la mahustlers
Tabaka la Masonko
Tabaka la Masofaras
WEWE UKO TABAKA GANI?
Tabaka la Juu
Tabaka la Kati
Tabaka la Chini
Mwananchi wa kawaida
pia nimeambiwa na mshkaji wangu wa Nairoo kuwa kuna
Tabaka la mahustlers
Tabaka la Masonko
Tabaka la Masofaras
WEWE UKO TABAKA GANI?