Wewe uko tabaka gani

Utingo

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
10,270
8,029
Mara nyingi wanasiasa na wanahabari huwagawa wananchi katika makundi haya:
Tabaka la Juu
Tabaka la Kati
Tabaka la Chini
Mwananchi wa kawaida

pia nimeambiwa na mshkaji wangu wa Nairoo kuwa kuna

Tabaka la mahustlers
Tabaka la Masonko
Tabaka la Masofaras

WEWE UKO TABAKA GANI?
 
Wapigania haki na usawa kwa wote tabaka lisilobagua dini kabila wala rangi ya mtu ,tabaka lenye kulinda na kutunza tunu za Taifa tabaka lenye malengo ya kufuta umasikini ujinga maradhi udini na ukabila
 
Back
Top Bottom