wewe PAW hujipendi, unampiga ban Dr.Riwa.!!??

Misd yuu tuu dada.
Ila hizi ban mbona zimekwa za hovyo nauadeizi?

Itabidi nifanye utafiti.... Nifanye kikao na Paw aniambie kulikoni... Si unajua sasa hivi sipo mara nyingi napitwa.... walau wewe tupo woote hapa.... I like that. Tell me what did I miss?
 
Nyie wapendwa.... NAWASALIMU..... Nahisi Niliwa MISS....:smile-big:

Mkuu sasa hivi umeshapona kabisa upo kama zamani? nakumbuka uliambiwa upumzike. naomba kujua hali yako.
 
bila shaka ulitaka kusema dubu. dubu hajambo. anakupenda sana AD.

Ni typing error... Asante umelitambua hilo.... Nafurahi kua ni mzima... ADI anakupenda pia Dubu... Ila tu am kind of curious mbona una alter cv ya Riwa... jamaa kupigwa ban will be so out of line ujue....lol... yeye kazi kutibu, havunji sheria yule.
 
Itabidi nifanye utafiti.... Nifanye kikao na Paw aniambie kulikoni... Si unajua sasa hivi sipo mara nyingi napitwa.... walau wewe tupo woote hapa.... I like that. Tell me what did I miss?

ulimiss ban ya miezi mitatu niliyokula, afu nikafanya makeke ikawa lifted.
Ila hii mimod uchwara sijui nani kaipa madaraka ya kupiga ban?
Kuna limoja kule jukwaa la michezo lilizingua mpaka kero...
Aaagh!
 
Tusiombeane mabaya. hakuna mkamilifu hata mmoja. huruma za invisible zinawafanya mjione mnafuata sheria. habari yako MN?

Sijamuombea mtu mabaya ila nilichosema mtu akikosea bila kujali ni nani tupewe maonyo sawa....! mie mzima DUDU, weekend imeishaje baba/mama
 
ulimiss ban ya miezi mitatu niliyokula, afu nikafanya makeke ikawa lifted.
Ila hii mimod uchwara sijui nani kaipa madaraka ya kupiga ban?
Kuna limoja kule jukwaa la michezo lilizingua mpaka kero...
Aaagh!

Pole Mphamvu.... are you telling me all Mods are after you?? Kweli hapo hata mimi nitakua bega kwa bega na wewe kukata rufaa!
 
Tumekumiss pia Asha Dii, upo weye...mie uchumi mgumu nakosa bando ya kuingilia JF bana....si unajua shilingi imeshuka thamani

Umeona eeeh? Nilidhani mimi peke yangu bana! Sijui twaelekea wapi kwa kweli kwa mtindi huu... Sio mbaya lakini siku moja moja tutawa twaenda kwa bajeti. lol
 
Mi bora nikaguliwe na Dr. Riwa kuliko kukaguliwa na Babu Asprin...
Sasa anarudi lini?
 
Pole Mphamvu.... are you telling me all Mods are after you?? Kweli hapo hata mimi nitakua bega kwa bega na wewe kukata rufaa!

labda RR, ila hao wengine mhm?
Kuna thread yao nilisema kuwa siwapendi, and I mean it!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom