Wewe ni nani kati ya hawa?

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,025
Nguruwe=ulevi na uchafu>>>Mbwa=anapenda sana chini>>>Paka=uvivu na usharobaro>>>Punda=mjinga na anatumikishwa sana>>>Kuku=anajiona yuko huru wakati hayuko huru>>>Nyegere=ugomvi na ubishi usio na kikomo>>Nyoka=mwongo>>Sungura=mjanja sana,Panya=mharibifu asiyeaminika,Kondoo=mpole mpaka anakuwa mjinga,Mbuzi=mtukutu na mtundu>>>Popo=mnafiki na kigeugeu>>>Bundi=una mikosi na unapakaziwa makosa yasiyo yako
 
Jaguar we mwenyewe ungependa kuwa nani kati ya hao uliowataja?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom