Kwa mwalimu? Naomba kufahamishwa haya kuhusu Mkurunga

Oxpower

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,139
2,991
Habari wana Jf na poleni kwa majukumu

Bila kupoteza muda naomba kujuzwa mambo machache kuhusu mkuranga

Halmashauri ya mkuranga ina
1:shule ngapi za sekondari
2: kati ya hizo shule ,shule ngapi zina kidato cha tank
3:shule gani zipo mazingira magumu( yani zipo mbali na mji, amna maji, umeme wala huduma za jamii)ikiwezekana nitajie na majina
4:shule zipi zipo mazingira ya wastani, zinamazingira magumu lakini sio sana .imibidi na jina la hizo shule
5 :shule zipi zipo mazingira mazuri, yani zipo mjini au kwenye miji.

Natanguliza shukrani
 
Usijaribu kuja cz wenyewe tunapakimbia kuna tetesi kuwa kuna kambi za osama
 
Wewe ni ke au me, ukinitia nitakujuza, Mimi nipo huku miaka kumi sasa, Idaya ya msingi
 
Back
Top Bottom