Wewe ni mvulana wangu wa pili

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,661
9,980
Kuanzia nimebalehe, kila msichana nikimuuliza mimi ni bwana wako wa ngapi, utasikia we ni bwana wangu wa pili... akizidi sana utasikia wa nne.
je mimi nina bahati gani ya kuwa napata wanawake ambao hawajatumika sana?
Acheni wizi wanawake
 
Una bahati ,wewe wanakuambia hivyo mi kuna mmoja nilimuuliza akaniambia kama sikosei utakuwa wa 168 ila sina kumbukumbu vizuri, nikachoka.......
 
Hahaaa, bora wao wanakuwa wa wazi wanasema wa pili.

Wengine (sijui kwa sababu haipimiki) wanawaambia binti za watu, yaani wewe ni wa kwanza na sijawahi kujua mwanamke mwingine!!! kumbe wa 22.5
 
ukitaka raha ya mapenzi usitake kuuliza maswali mengi kazi yako moja tu, sex sex sex, may be na future hapo mtaenjoy sana ila ukitaka kuumia na kudanganya uliza mambo ya nyuma (yaliyopita).
 
Ha ha ha ha umedanganywa sana mkuu wa pili wizi mtupu. We ulitaka akwambie wa kwanza. Ukiona anasema wa pili hesabu mkichwa kaka
 
unajua maswali mengine huwa ni magumu sana na LAZIMA UDANGANYWE TUU!
 
Wajanja tunataka vitu used. Wakuja ndio watakao vitu vya dukani. Mimi raha yangu mwanamke aliyeachika walau mara tatu. Wanawake wa aina hiyo ni wavumilivu sana.

Stop asking discouraging questions! Wewe mbona huulizwi umechovya mara ngapi?

I love used apparatus.
 
Kuanzia nimebalehe, kila msichana nikimuuliza mimi ni bwana wako wa ngapi, utasikia we ni bwana wangu wa pili... akizidi sana utasikia wa nne.
je mimi nina bahati gani ya kuwa napata wanawake ambao hawajatumika sana?
Acheni wizi wanawake

basi we unabahati, mi nilishamuuliza akaniambia hakumbuki orodha, alisema ni wengi mno...wakati huo nilikuwa nimemaliza ku-do, nilikuwa mdogo kama pilton maana hata condom yennyewe sikuwa na imani nayo...kwa ufupi nilichananyikiwa mno.
nadhani siyo vema kuwauliza hilo swali...ni waongo mno..
 
The difference is the same - **** usinyaa na kutanuka! Hata kama ungekuwa wa 500!
 
Una bahati ,wewe wanakuambia hivyo mi kuna mmoja nilimuuliza akaniambia kama sikosei utakuwa wa 168 ila sina kumbukumbu vizuri, nikachoka.......

Black Cat mimi namwomba huyo maana ameshamaliza anajua aina zote na pia ni mkweli maana hawa mabinti wamezidi sanaa.
 
kuna demu aliniuliza mi ni bwana wake wa ngapi, nikamwambia huwa situnzi kumbukumbu.
akaniambia ningejua mwanzo kabla hujanichakachua ningekuacha
 
Kuanzia nimebalehe, kila msichana nikimuuliza mimi ni bwana wako wa ngapi, utasikia we ni bwana wangu wa pili... akizidi sana utasikia wa nne.
je mimi nina bahati gani ya kuwa napata wanawake ambao hawajatumika sana?
Acheni wizi wanawake

Ongeza swali la nyongeza.. Huyo kwa kwanza yupo wapi? utaambiwa South, UK USA, UAE ....etc (kwa watoto wa kishua)
 
Kuanzia nimebalehe, kila msichana nikimuuliza mimi ni bwana wako wa ngapi, utasikia we ni bwana wangu wa pili... akizidi sana utasikia wa nne.
je mimi nina bahati gani ya kuwa napata wanawake ambao hawajatumika sana?
Acheni wizi wanawake

ha!ha!ha!.......bora umegundua unadanganywa.siku hizi hakuna ambae sio 'used' labda umlee mwenyewe lakini wa kukutana nao mtaani wote ni used.cha msingi tu pima mwenyewe kiwango cha uchakavu wake maana ukibeba scraper kabisa itakua soo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom