Wewe ni mfugaji? Uliza swali lolote la kitaalam nikusaidie

Umejitahidi hongera lakini ongeza inputs na details zaidi kama kweli umeamua kujitolea kuwasaidia wafugaji naona kama unawajibu nusu nusu

But anyway hata hivyo kazi nzuri
 
well nataka kuanzisha mradi wa ufugaji kuku wa kisasa je aina gani ya kuku wanalipa?,je wataalam nitwapata wapi,je hao vifaranga nitawapata wapi,je aina gani ya ujenzi wa banda inahitajika.....
07170288306
 
Mimi nina mpango wa kuanza ufugaji wa kuku. Naomba unisaidie kubadget gharama za banda kwa ujumla. Namaanisha banda la mbao au mabanzi. Nijenga la ukubwa gani kuanzia na kuku 50? Nitashukuru sana
 
nina nguruwe je nitumie mchanganyiko wa vyakula gani ili niwavune kifaida kwa muda mfupi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom