Wewe ni handsome au gentlemen?

Handsome inamaana ya uzuri wa sura au facial expression kwa mtu mwenye jinsia ya kiume.
Gentlemen inamaanisha ni hali ya mtu mwenye jinsia ya kiume kua na power of control(domination) ya mambo fulani katika hali ya hekima na always nafasi yake kama mwanaume anaitumia ipasavyo.

Tofauti ya haya maneno mawili kwenye uhalisia wa maisha yetu saivi iko hivi.
Handsome ni mwanaume ambaye ataonekana kupata madem wengi kulingana na mvuto na uwezekano wa kuachwa ni mkubwa

Gentlemen ni mwanaume ambaye anauwezo wa kupata madem wowote atakao wataka kutokana na power yake of control as we know wanawake wanapenda mwanaume mwenye domination sana. Na ndomaana real Gentlemen ni ngumu kuachwa na mwanamke

N.B: Kuna mahandsome ambao ni magentlemen na kuna mahandsome wasio magentlemen. Pia kuna Gentlemen ambaye sio handsome na Gentlemen ambaye ni handsome.
 
Back
Top Bottom