Best advice kiongozi.Mkuu wanawake wana hili akipenda si rahisi kukuambia ni wachache wanaweza so what you need is to detect her waves! Body language yake ndio itakayokuambia what is going on!!
Jambo jengine unaona hizo bahati azikufikii ni kuwa hujichanganyi nao kivile nawe uwe unaonekana (nakushauri lkn hata mimi mwenyewe kwenye hili kituko tu😂😂)
Jitahidi uchangamane kiduchu they can spot you ila uache kale kamtindo ketu ka kusubiri yakifika unaruka😂😂
Unakuta wapo wengi tu na umewatesa bila kujua wanakupenda ila wakaugulia moyoni.. detect them my friend.