Wewe mwana JF una taaluma gani?

Jamani nimemaanisha kama umesoma ngazi ya shahada, je umesomea fani gani?
Mkuu ungeanza wewe kutuambia una shahada gani na umesoma fani gani . Ni vema tukakujua wewe kwanza na pia ueleze sababu ya kutaka kujua elimu zetu je kuna mahala labda umekwazika au unahitaji ushauri wa kitaalam mara baada ya kueleza shida yako watajitokeza wahusika na fani zao nao watakusaidia.
 
We ------ naona unawashwa mk***u.. hivi umeielewa thread kweli wewe!!??
Alafu kumamae zako mambo ya kuni PM usenge sitaki,,, malaya mkubwa wewe...kafie mbali huko! alaaaa...
acha kuniPm UPUMBAVU,, SITAKI UMENIELEWA?

tatizo bado mtoto sana wewe,,
embu grow up kidogo basi..
No offence intended ila umenikera.ptuuuuu,, get a life motherf****er!:A S-fire1:

Mods please BAN here here. Kwa hisani ya mwenyekiti.
 
Eh! Taaluma jamiiforum tena!!! Hapa taaluma haina mashiko!!! Ukitaka taaluma nadhani uende sehemu husika zinakotambuliwa au kuhitajika. Sisi hapa hatuzihitaji. Taaluma ni very personal na haiongezi kitu au kupunguza kitu hapa jamvini.
Tuweze kufahamiana taaluma zetu!
 
Masters in fighting For Public Transport Strategies.

3 years experience (Magari ya Posta - Mbagala)

Nimeipenda hii. Ila inaonekana ni program ngumu yaani imekuchukua 3 years for masters. Bachelor sijui ni miaka mingapi....!!!! Teh.... teeehh!!!!!
 
Dah... Mi nabaki kucheka tu, watu wanavyo pindapinda humu, wengine wanatukanana yaani daah!!!!!!
Mtoa mada kazi unayo!
 
maybe mods wangeweka subforums za professions mbalimbali like doctors,engineers,accountants,auditors,teachers etc where people discuss different issues relating to their professions and getting to know each other...that would make sense
 
mimi binafs sijalipenda hili swali.ina maana jf ni ya waliona shahada pekee?
 
Mi mburula? Kivip mkuu,unaeza nipa hata indicator moja kwenye hoja yangu kuprove umbulula?

Afu uache kunifatilia wewe, toka facebook hadi huku unataka nini? Kusoma kitu gani mpk uanze chuki na mm? Au kwa vile natumia jina langu halisi ndio umepta loophole?

We kasirika tu, mm nimetoa wazo langu unajidai kudelute bila hata kukosoa nilipoandika wrong! Mda mwingine mnatafuta matusi tu ila nakustahi

Kuonesha chuki zako unaongiza ishu ya chadema...inahusiana vp na mimi au nlichoandika? Kasome kimpango wako sio kukaa sijui ni nini kinakuuma mpk uniseme vby bila kunikosoa ikiwa nimeamdika mawzo yangu

samahani mkuu!huna sababu ya kutukana,hapa tunawekana sawa tu!mbona hayo ya facebook sikumbuki ndugu yangu?
Nisamehe kama nimekukwaza
 
Hapa ndo tunajua mbwembwe nying za jm kumbe wengi wao watoto wa sekondari tu wanaonuka maziwa ndo maana hata michango yao inanulka maziwa tu.masters in business management(cooperate management)

mwenye masters hawezi comment ----- huu!
Wewe utakuwa form four failure
 
Back
Top Bottom