Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 11,541
- 12,401
Ninayo ya kupigia kura. Enhe!!?
mi ninayo ya ndoa!
Ninayo ya kupigia kura. Enhe!!?
Wewe una ipi?
Mimi nina Bachelor Of Banking & Finance.
Safi sana mkuu, pia hongera.
jamani hili swali lina ugumu gani mbona mnaleta complication zisizo na maana? au humu ndani tumejaa vihiyooo
Shukrani sana mkuu, salute!
Mbeleni huko ukipiga Msc in Finance Management then ukapiga na AICAF itakua mzuka sanaaa, yani utakua bonge wa product.. ila uwe na juhudi za ziada
Tuambizane.
Daah, shukrani sana mkuu nimejifunza ka kitu flani. Point noted!
Pamoja sana mkuu... Taaluma unapo pata kitengo hasa sehemu kama Bank na ukwa na juhudi na ukaonesha kujua vitu sio vitu vikujue wewe, una grow faster sana mkuu..... unaonaje ukiwa mkuu wa Idara ya Treasury au mmoja wa staff wa hiyo Idara? Pia ukitaka kupata nafasi kwa urahisi katika hako ka kitengo itakufa sana ukisoma haka ka kitu kanaitwa CTP katakuongezea wigo wa kupata nafasi
Mimi nina shahada ya uchumi sina ya Gani! Hio gani ni fani mpya imeanzishwa nini? Inahusiana na nini na vyuo gani vinatoa hiyo shahada ya gani?
Kwani ni wazo baya kujua taaluma za wana jf mbali mbali humu ndani?
Mzee wa loliondo unapokuwa huna hoja ya kuwaambia wana JF ni bora kunyamaza ili uwape nafasi wenye hoja watu wakazichangia. kwa ushauri tu ni kwamba, kunyamaza ni busara sana kwani hakuna atakayejua u-mjinga au mwelevu kiasi gani kuliko kuongea maana watu watapata nafasi ya kukujua ujinga au welevu wako. TAFAKARI!
Tuambizane.