WEWE MWANA JF ANGALIA JINA LAKO HAPA. Je Limo?

JINA LAKO LIPO HUMU?
Haya ndo baadhi ya majina ya wafanyakazi wenye mishahara ya kima cha chini Waliouziwa viwanja TMK na kuwaacha walala hoi wakilia na kuishia kutozwa Tsh 30,000 /= Bure

1. Wilson Mukama
2. Job Ndugai
3. Prof. Makame Mnyaa
4. Pereira Ame Silima
5. Dr. Florence Turuka
6. RAmadhani Kijjah
7. Omari Chambo
8. Dr. Idrisa Rashid
9. Dr. Didas Masaburi
10. Jerry Slaa
11. Paul Chagonja
12. Suleiman Kova
13. Haruna Masebu
14. Ludovick Uttoh
15. Marina Njelekela
16. Augustino Mrema.
17. Deo Filikunjombe
18. Sylivester Koka
19. Idd Azan
20. Cyril Chami
21. Mohamed Misanga
22. David Kafulila
23. Dr. Peter Kafumu
24. Selemani Zedi
25. Maulid Komu
26. Suzan Lyimo.
27. Dr. Marry Mwenjelwa
28. Zakhia Megji
30. Miraji Kikwete
31. Khalifani Kikwete
32. Junita Mramba
33. Suzan Mkapa
34. Zainab Mkomwa
35. George Rupia
36. Maimuna Mfutakamba
37. Mary Membe
38. Pharles Njelela
39. Judith Kahama
40. Wilfredy Mwanry

Source. Temeke Municipal list posted at one of the containers just near land/evaluation offices!!!!! Hapo umesahau majina ya wake za vigogo na watoto zao mpaka mahawara ninawafahamu wamo!!! Kwa walala hoi kiwanja kimoja ilikuwa hongo ya 1m kwa low density na range from 500,000 to 1m kwa medium density. Kama umepata kiwanja pale bila kuhonga basi ni baada ya kuwa wahongaji hawakutokea na ndiyo maana kulikuwa na some delays, na vichache ndivyo vikatoka kihalali. Nilitaka nikamtakamtishe officer pale na PCCB ila nikawa nimesafiri. Ila nawahakikishia wana JF next round ya viwanja nitaleta issue kubwa pale!! Nimeshaanda PCCB officers. Liwalo na Liwe!!!
 
da aisee sasa hapa...mmh..hebu ngoja nifikirie kwanza..ntarudi kusema jambo.....
 
Majasho relax and take notes,pumzika kwenye a/c kwanza upate ubaridi,tatizo la hao vigogo ni kwamba kila mradi wamo tu,we sikilizia mradi wa bukoba utaona majina hayo hayo tu! We haujaona miraji kikwete kila mradi yumo kuanzia kinyerezi hadi arusha! Kinacholalamikiwa hapa ni kwamba hawa jamaa wanatumia nyazfa zao kujilimbikizia viwanja,wananchi walioomba wengi hawana hata viwanja lkn hao vigogo walioomba wanaviwanja kila mkoa na still bado tu wana banana na walalahoi ebu nenda kinyerezi ukalione hekalu la miraji kikwete kwanza kweli ukiwa mtoto wa mkubwa full raha yani hata huyu mvuta bangi wa block41 naye ana mjengo wa kifahari?

Kaka umenizndua thanx 4 clarifications
 
Hivi wewe kama ungekuwa ndiyo afisa mgawaji wa viwanja angefanyeje watoto VIGOGO namna hiyo wakiomba ukizingatia kwamba unajipenda, labda kama hujipendi! Kwa upande wangu mimi kweli vya kaisari nigemwachia mwenyewe kaisari.
 
Mh spika mimi nafadhaika sana na mpango huu mbovu wa serekali yangu,hususani kwa jambo hl la viwanja kupata watu wenye uwezo badala ya walala hoi kama ilivyoelezwa. Inaniuma sana mh spika. Asante sana mh spika "NAUNGA HOJA MKONO ASILIMIA MIA KWA MIA." Aamaa unashangaa nini sasa?!!
 
tz bhana...ukiongea utaambiwa siasa hzo' 2mevukuzia hv vzwanja hadi soli imeisha..dzain nilijiona mfaifu, kwa nilijona tabaka mwsho katka nch yng niipendayo' kwa stahl wana siasa awawez leta maendeleo...myb damu imwajke
 
Vilitolewa viwanja 40 tu?

Jee, hao si Watanzania na hawafai kuomba viwanja?
 
hiyo orodha ni ya watu fulani ambao ...... na si watu wadogo kwa wasifu waliokuwa nao.
si bure hapo viwanja vilinunuliwa kwa dau la zaidi ya Tsh. 30,000/=
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom