Wewe mbovu kwenye SEX! Unajua hilo?

Jamani kama mwenyewe nimeenjoy si inatosha kujisifia! Kwani tunamake love ili iweje?

Na ukisifiwa na wote, halafu mwenyewe huoni utamu wake je?

kwa mwanamke hadi ukaona utamu una haki ya kujisifia. ila wanaume anaweza aone
utamu hata mara kumi na wala wewe dada usisikilizie hata mara moja. hapo ana haki kweli ya kujisifia?
 
Duh Erotica bwana,you are my "DESIRABLE" bwana and a big fan of yours.Ila kunaswali ulisema usiulizwe ila mie nitakuuliza siku nyingine.

Back to the topic,mie sijawahi sifiwa tangu nimeanza haya mambo(hata kuyataja naona aibu) miaka 50 iliyopita kwahiyo nijiite FAILURE au?
 
Mwana mtoka pabaya wewee!!! hapa nikimaanisha hivo hivo sio kwamba nakuita! Kaaaah.
wewe umeingia mmu unategemea kupata topic gani zaidi ya cheating, nyumba ndogo,
nimetendwa, after sex mistakes, kapos fight, being ignored yote hayo msingi wake ni sex. cha ajabu nini?
kama wewe mbovu na ukasema hapa tutapeana tips, unaona hazikufai sepa kabla hata hayo maneno sijayafilisi.
Eti mambo ya maana. ungezaliwa wewe bila sex? au na wewe huna maana?

muongezee na hili hana haya wala hajui vibaya, uso umemparama kama jua la kiama, mwana mjaa laana aso koma kuwehuka, moja yake haikai mbili yake haisimami.
 
lakin Erotica umesahau mgema akisifiw tembo hutia maji, na siku zote tumbitumbi tumbi ya mgongo.
 
Duh Erotica bwana,you are my "DESIRABLE" bwana and a big fan of yours.Ila kunaswali ulisema usiulizwe ila mie nitakuuliza siku nyingine.

Back to the topic,mie sijawahi sifiwa tangu nimeanza haya mambo(hata kuyataja naona aibu) miaka 50 iliyopita kwahiyo nijiite FAILURE au?

teh teh teh.. au hufanyagi sana na mara kwa mara? sikuamini KIKUNGU :-*
 
Last edited by a moderator:
muongezee na hili hana haya wala hajui vibaya, uso umemparama kama jua la kiama, mwana mjaa laana aso koma kuwehuka, moja yake haikai mbili yake haisimami.

teh teh teh... kombinenga!
 
lakin Erotica umesahau mgema akisifiw tembo hutia maji, na siku zote tumbitumbi tumbi ya mgongo.

Hapa malengo ya sred yameenda kushoto kidogo. mie nimelenga wale ambao
hua wanajisifia na kujiamini kumbe sivo. sina mana kua tusifiane mara kwa mara.
 
Kati ya mambo yooote yaliyopo duniani, sex ndio mazungumzo yenu. Hivi kuwa member wa JF hadi kiwango changu cha sex kijulikane na wewe?
Haya ukishajua ndio inakuwa nini?
Kama mnauza semeni kwa kunyoosha maongezi. Siku moja moja jadilini mambo ya maana. Akili mmeziweka kwenye sehemu za uzazi basi saa zooote mijadala ni namna gani sehemu za siri za mwanaume zitawatosha, Loh!

Mkuu Mwana Mtoka Pabaya sex ndio determinant ya performance ya mtu kwenye sehemu nyingine za maisha yake. Kama mtu ha-enjoy good sex, kama mtu ana matatizo ya sex, kama mtu haridhiki au hamridhishi mwenzake kimapenzi, lazima inaadhiri shughuli zake nyingine whether za kisiasa, kiuchumi na hata kijamii. Huo ni ukweli ulio wazi.

Tatizo tulilo nalo hapa nchini ni kwamba hatu-address social problems ambazo ndizo zinasababisha matatizo mengine. Sex is seen as a taboo. Kwamba sio vizuri kuongelea sex. Lakini karibu robo tatu yetu tumekuwa na matatizo ya sex at one point in time.

Kama kwako mijadala ya maana ni siasa, tumekuwa tukijadili siasa hapa long time lakini umeona mabadiliko yoyote kwenye fani ya siasa? Nope. After all maisha ya binadamu ni zaidi ya siasa.

Kama wewe unaona sex is not that so important to you then utakuwa una tatizo la kibinadamu.
Erotica endelea. Mie nachukua notes.
 
Last edited by a moderator:
Ila kuna utamu wa asili ambao wapo walioumbwa nao (maumbile yao); hao hata wasiposhughulika sana; bado wenzi wao huwasifia.

Of course na ufundi pia upo. So lucky is the one anayekutana na mwenye combination zote 2!
 
Hapa malengo ya sred yameenda kushoto kidogo. mie nimelenga wale ambao
hua wanajisifia na kujiamini kumbe sivo. sina mana kua tusifiane mara kwa mara.

na mimi nilielewa hivyo but nimetoa kama angalizo manake wapo ambao ufanisi wao pengine umeharibiwa na sifa, kuna stail ya miguno na mihemko ambayo hutolewa kwa nia ya kuonyesha kuridhika na kumtia hamasa mwenza wako kumbe ukiinogesha zaid anashindwa kuendelea manake jamaa atamwaga kojo na kutoka. ndo maana hii miguno inabidi iwe kwa mtu anayejua pa kuiweka.
 
Mwali mbon mpana sana, manake sifa ya mwali ni upole, wewe mwenzangu sijamaliza kupost ushanijibu? nmekukubali ila Erotica kiboko,.........................
Nilifurahia huo msemo, hapa nipo kuuprint na kuuweka uutani. hujaona nimekungongea like?
Hata hivo mi ni mpole, sina ugomvi na mtu humu ndani (hata nje). Kuongea sio alama ya utundu.
 
Nilifurahia huo msemo, hapa nipo kuuprint na kuuweka uutani. hujaona nimekungongea like?
Hata hivo mi ni mpole, sina ugomvi na mtu humu ndani (hata nje). Kuongea sio alama ya utundu.

binafsi nakutania mwali.............si unajua utani pia huleta raha kwenye story?????????? usiboreke
 
Ila kuna utamu wa asili ambao wapo walioumbwa nao (maumbile yao); hao hata wasiposhughulika sana; bado wenzi wao huwasifia.

Of course na ufundi pia upo. So lucky is the one anayekutana na mwenye combination zote 2!
Kaunga this is too abstract.
Oh kumbe tuko MMU.
Nilidhani ni kule jukwaa la....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom