Wewe makamu mwenyekiti pale Yanga corona ikiisha tutakuja Jangwani

Riz king

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
275
547
Napenda nimtaarifu Mwakalebela ashukuru Corona la sivyo wanachama tungeungana kuja kukuondoa pale pale Jangwani tena kwa nguvu kubwa ya umma wetu wananchi.

Mwakalebela nafahamu upo pale Yanga kutafuta ugali wa kuujazia tumbo lako kama furushi, najua huna mapenzi ya kuongoza timu yetu ifanikiwe.

Mwakalebela najua pesa ya kubwa kuliko uliila wewe na kampani yako. Tuliichanga hadharani na mrejesho wa matumizi yake yapo kiuficho Sana.

Najua unajiandaa tena kwenda kugombea ubunge huku mkiiba pesa Yanga ili mjijenge kisiasa, na hali ilovyo CCM hutoboi hata kura za maoni. Sasa unaonaje ukajiondoa maana hata top leaders wenzako wamekuruka kwenye Jambo Hilo.
 
Matusi ya nini jiheshimu kwani Mwakalebela kugombea ubunge kuna kosa gani yaani toka mlipochomwa kimoja na Morrison hamna raha unajidai Yanga kumbe wewe Bodaboda FC
 
Back
Top Bottom