Wewe kama kijana, umefanya jitihada gani kulikomboa taifa lako?

Nilishiriki kupanga mkakati wa kuipindua CCM 2015 na sasa CCM ina madiwani 4 wakuchaguliwa wakati CDM inao 21.

Nashiriki kwenye mikutano ya serikali ya mtaa.
 
Mawazo finyu haya. Utaanzaje kuwauliza wenzako swali ambalo tulitegemea wewe utakuwa wa kwanza kutuelezea nini umeifanyia Tanzania au we sio mtanzania, wasilisha kwanza ni nini we uliyeleta hii thread nini umeifanyia tz halafu mimi nitakuja na orodha ndefu kwa yale ambayo nimeifanyia na nonayoendelea kuifanyia tz
 
Back
Top Bottom