Wewe je ipi tabia huwa inakukera pia?

Mwaka mpya

JF-Expert Member
Jun 12, 2016
213
221
Mfano binafsi sipendi sanaa mdada anayeniita mimi maneno kama "wangu"

Utaskia ahsante "wangu" au "My"



Tabia nyingine ni ile ya wadada unatongozwa na kijana wa watu unanza ku screenshot convo unawaonyesha marafiki zako, yaani hao unaowaonyesha hawatakusaidia kwa lolote pindi mambo yataenda kombo.
 
sipendi tabia ya kula chakula umeachia mdomo wazi na misauti ya ajabu ajabu inatoka.
 
Back
Top Bottom