Njia za kuondoa weusi katika lips...

Kwani wewe ni rangi gani ? Mweupe ama mweusi? Isijekua ni mweusi afu unataka kuwa na lips nyeupe🤔

Afu kwanini unahisi ni shida hivo hadi utafutie ufumbuzi? Ukiulizwa unavuta na unajijua huvuti nini shida? Mwishowe utashauriwa chemicals bure.
 
Kwani wewe ni rangi gani ? Mweupe ama mweusi? Isijekua ni mweusi afu unataka kuwa na lips nyeupe

Afu kwanini unahisi ni shida hivo hadi utafutie ufumbuzi? Ukiulizwa unavuta na unajijua huvuti nini shida? Mwishowe utashauriwa chemicals bure.
Mkuu lips nyeupe zikoje? Mimi ni mweusi ndio. Lakini mbona hushangai kuona mtu mweusi nyayo zake au sehemu za viganja sio vyeusi?
Kama ukisoma ili uelewe utakua unapata faida sana. Badala yake unasoma ili ujibu. Hata hivyo nashukuru kwa wino wako juu ya hii karatasi.
 
Kwahiyo kosa hapo liko wapi? Kukuuliza rangi yako? Umeleta uzi ili ushauriwe kama unahisi ushauri tuliotoa haukufai ungechukua unaokufaa acha jeuri! Ila ningekua ni mimi tena mkaka nisingebother na vitu vidogo kama rangi ya lips kha😀 Ila nakushauri tumia Carolight ndiyo kiboko ya lips nyeusi! Utakua na lips denda amazing😬😬
 
Kuna Vaseline ndogo zina rangi ya pink zinauzwa kkoo zinaitwa rosy lips jaribu zinaweza kukusaidia.
 
Baada ya kufanya yote unayoshauriwa na Wakuu usisahau kujikubali kwani hiyo ndo dawa pekee itakayokufanya uishi maisha yako bila woga na hofu yeyote.
 
Baada ya kufanya yote unayoshauriwa na Wakuu usisahau kujikubali kwani hiyo ndo dawa pekee itakayokufanya uishi maisha yako bila woga na hofu yeyote.
Yaan ujikubali hata kama unaona ni tatizo? Mfano macho yako mwanzo yalikua yanaona vzr baadae ukaanza kuhisi kuna ukungu mbele ya macho yako je unatakiwa utafute ufumbuzi au ujikubali?

Nimeeleza hapo awali kuwa rangi ya lips zangu imebadilika na kunishangaza hata mimi mwenyewe na nahisi ni tatizo. Wewe unasema nijikubali hii ni nini sasa.
 
Kwahiyo kosa hapo liko wapi? Kukuuliza rangi yako? Umeleta uzi ili ushauriwe kama unahisi ushauri tuliotoa haukufai ungechukua unaokufaa acha jeuri! Ila ningekua ni mimi tena mkaka nisingebother na vitu vidogo kama rangi ya lips kha Ila nakushauri tumia Carolight ndiyo kiboko ya lips nyeusi! Utakua na lips denda amazing
Huna kosa ila nami nimeuliza kuna lips nyeupe?
 
Yaan nipake nini kwenye lips wewe?
Wewe mtoto nina adhabu yako maalumu, jitahidi unitafute ili uipate mubashara
 
Tafuta pesa mzee ukiwa na pesa hizo kasoro sijui midomo myeusi kucha ukoma hakuna ambaye ataziona.

Unaulizwa hivyo kutokana na pesa huna so watu wanakuchukulia bwege mmoja tu upo upo tu ila ukiwa na uchumi hakuna pimbi atauliza masuala hayo.
Concetration itakuwa kwenye matumizi ya pesa zake zadi sio ufupi wala urefu🤣
 
Wakuu...

Katika kipindi cha makuzi yangu kuanzia naanza kujitambua mpaka kipindi cha miaka ya kuanza kubalehe hivi nilikuwa na midomo (lips) ambazo hazikua na weusi hata kidogo. Hazikua zimeokoza ile pink lakini zilikuwa na rangi nzuri tu.

Baadae sijui nini kilitokea. Kwa sasa nina lips nyeusi kama vile navuta sigara. Mara kwa mara nimekuwa nikiulizwa hili swali kwamba je, navuta sigara?

Nahitaji kuondoa huu weusi. Msaada tafadhali...
Anza kuvuta sigara tu mkuu, just kiding
 
Huna kosa ila nami nimeuliza kuna lips nyeupe?
Acha hizo mkuu kwani wanavosema flani ni mweupe unataka awe na rangi kama karatasi nyeupe?! Weupe wa karatasi ni tafauti na rangi ya binadamu japo ni mweupe pia! Hivo viganja vyako vina rangi gani kama si nyeupe. Kwani unataka hadi uende Tuition ili kujua hilo aargh mbona ni mgumu sana kuelewa wewe mitihani ulifauluje mkuu?
 
Hivi unajua wewe ni mbishi sana? Mtu akiwa mweupe hawi kama karatasi sawa lkn ndio tumezoea hivyo kusema kuwa fulani ni mweupe. Lakini kwetu sisi hatujazoea kusema mtu ana kips nyeupe, sijawahi sikia hii.
Lkn pia mtu hata akiwa mweupe huwezi fananisha rangi ya ngozi yake ya either mkono au shavu na rangi lips. Lips mara nyingi huwa zinakua na pink fulani ambayo haijakoza. Punguza ubishi.
 
Wakuu...

Katika kipindi cha makuzi yangu kuanzia naanza kujitambua mpaka kipindi cha miaka ya kuanza kubalehe hivi nilikuwa na midomo (lips) ambazo hazikua na weusi hata kidogo. Hazikua zimeokoza ile pink lakini zilikuwa na rangi nzuri tu.

Baadae sijui nini kilitokea. Kwa sasa nina lips nyeusi kama vile navuta sigara. Mara kwa mara nimekuwa nikiulizwa hili swali kwamba je, navuta sigara?

Nahitaji kuondoa huu weusi. Msaada tafadhali...
Pole sana. Je lips ni nyeusi zote juu na chini au ni chini tu? Au pia ni i kwa maeneo baadhi kwenye lips? Wakati ukiendelea kutekeleza ushauri uliopewa hapa nami nitakushauri aende hospital uombe wakupimr vipimo vya hormones ikiwemo Thyroid function. Mfano ukiwa na untreated under active thyroid ( failure to produce enough tyroid hirmone) kitaalam Hypothyroidism huwa inasababisha hizo colour change or pigmentation. Pia kuna Stress Hirmone inayozalishwa na Adrenal glands inaitwa Cortisol kama pia haizalishwi vya kutosha inasababisha skin pigmentation kwenye lips na pia hata rangi yako kama ulikuwa light unaanzakuwa dark.

Hivyo basi nenda hospital kubwa fanya vipimo huku ukiendelea kula vyakula reach in vitamins zote tu hasa vitamin C na B complex.

Pole sana.
 
Asante sana mkuu. Umenena vyema. Mimi nafahamu ya kuwa kila badiliko linalotokea kwenye mwili lina sababu na lina maelezo kitaalamu. Kwamba huwa linasababishwa na nini na kwa jinsi gani linaweza kupatiwa ufumbuzi.

Shida ya sisi (middle class) ni kwamba tuna deal au kutafuta ufumbuzi kwa zile shida ambazo zinaweza kutuweka kitandani tu, na tena mpaka zituweke kweli kitandani. Suala kama hili linaonekana kama urembo na si tatizo na ndio maana mpaka nimeambiwa nijikubali, yaani nikubali tatizo liwe sehemu ya maisha yangu. Baadhi ya watu wanachukulia baadhi ya mabadiliko kwenye miili yao kama sehemu ya makuzi au mabadiliko ya kimazingira na hali ya hewa bila kufikiri upande mwingine.

Naamini ya kuwa andiko hili litawafumbua macho wasomaji wengi na halitakua faida kwangu tu.

Kujibu swali lako ni kwamba lips zangu ni nyeusi zote juu na chini.
 
Siyo wewe uliyesema hapa kwamba umekuwa ukiulizwa mara kwa mara kama unavuta sigara?

Mimi nimesoma kukuelewa na nikaenda mbali zaidi hata kuwasoma fikra za hao wanaokuuliza maswali hayo ni kwamba wanakuchukulia simple....hivi mtu anaanzaje kuniuliza habari za lips zangu ategemee jibu?najiuliza kwanza anaanzaje?

Nakusisitiza tafuta pesa hayo maswali hatakuwepo mtu wa kukuuliza nature ya binadamu maskini ni kuuliza vijiswali vya ajabu ajabu ili akupime uwezo wako wa fikra epuka hilo kwa kuonekana tofauti nao.
Ushauri uliotoa unaakisi kipato chako mkuu kwamba wewe ni middle class. Bado haujajua vyema thamani ya pesa na matumizi yake kiusahihi. Pia haujajua mabadiliko ya kitabia pale namba ya acc yako inapozidi kukua.
Ukisoma vzr hapo sijaandika kuwa watu wananikera bali wananiuliza na hujui mimi ni mtu wa aina gani kwa sababu kuna watu kwenye familia zao hata akivuta sigara hawezi ulizwa na hakuna anaejali, mimi sio wa hivyo.

Hili suala ni la kibinafsi zaidi. Mimi ndie haswa ninaekerwa na hii hali sio wao.

Nakupa mfano mmoja... Ronaldinho gaucho kipindi tunaanza kumuona anacheza mpira alikua na meno yaliyotekeza nje lkn alipopata pesa ya maana alienda akarekebisha meno unafikiri kwa nini? Je watu hawakumkubali kutokana na pesa zake? Jibu ni kwamba ukiwa na pesa utahitaji kuwa vile unavyotaka wewe. Utafanya kila kitu na kuacha vile visivyowezekana tu?

Hautaelewa hiki kitu nimeandika hapa mpaka na wewe uwe na pesa maana umasikini pia una tabia zake.
 
Hivi unajua wewe ni mbishi sana? Mtu akiwa mweupe hawi kama karatasi sawa lkn ndio tumezoea hivyo kusema kuwa fulani ni mweupe. Lakini kwetu sisi hatujazoea kusema mtu ana kips nyeupe, sijawahi sikia hii.
Lkn pia mtu hata akiwa mweupe huwezi fananisha rangi ya ngozi yake ya either mkono au shavu na rangi lips. Lips mara nyingi huwa zinakua na pink fulani ambayo haijakoza. Punguza ubishi.
Mkuu wewe ndiyo mbishi unazijua Lips za Pink wewe? Sijawahi sikia hiyo rangi pia iwe imekoza ama imekoleza hamna lips za hivo bana. Na unavosema lips nyeusi are you sure ni nyeusi kama hiyo rangi? Jifunze kutumia rangi kulingana na mazingira/kitu/mtu husika acha ubishi. Si nyeupe kama karatasi ila ni nyeupe kwa rangi ya binadamu ova.💪
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom