West Ham v Arsenal: Ni dakika wa 25 sasa Arsenal washapigwa moja! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

West Ham v Arsenal: Ni dakika wa 25 sasa Arsenal washapigwa moja!

Discussion in 'Sports' started by Mdakuzi, Oct 6, 2012.

 1. Mdakuzi

  Mdakuzi JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 2,748
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  Kama kawaida Arsenal wanaonekana kuutawala mchezo kwa dakika hizi zote za mwanzoni, lakini mpaka sasa ni dakika wa 25 sasa Arsenal washapigwa moja! Ni goli lililofungwa dakika ya 21 na Mohamed Diame akipokea basi toka kwa George McCartney.
   
 2. Mdakuzi

  Mdakuzi JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 2,748
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  Olivier Giroud ameisawazishia Arsenal dakika ya 41, hivyo kwa sasa 1 - 1. Alipokea pasi toka kwa Podolski
   
 3. hekimatele

  hekimatele JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 9,489
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Gemu bado kipindi cha kwanza au?

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 4. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wapinzani bana
   
Loading...