West Bank hospital official: Palestinian President Mahmoud Abbas hospitalized, undergoing heart test

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Rais wa Palestina, Mahmoud Abbas akimbizwa hospitali baada ya kupata tatizo la kiafya ghafla, kiongozi huyo amekimbizwa katika Hospitali moja iliyopo Ukanda wa Magharibi ili afanyiwe vipimo vya moyo.

=======
RAMALLAH, West Bank (AP) — West Bank hospital official: Palestinian President Mahmoud Abbas hospitalized, undergoing heart test.



 
Usiniambie Kidon (Mossad) wamefanya yao, maana juzi tu alikuwa Israel kwenye mazishi ya Shimon Peres
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom