Werema, Muhongo: Tunasubiri neno la Rais tuachie ngazi

Tunamshauri Rais asisikilize majungu. Hawa wachapa kazi hawafai kuachishwa kazi hata chembe.

Rais baki nao hawa umalize nao awamu yako, hayo majungu ya akina Mkono na Mengi yasikuyumbishe.

Kijasho chembamba kinakuvuja si ulisema hata mmoja hatawajibishwa???Fisadi mkubwa wee (hapana ww sio fisadi). Lakini tusubiri kuni zinazopika dawa ya mafisadi wa escro hazijaisha na dawa inaendelea kuchemka, zikisha tu na wewe tafuta mtandao mwingine uhamie
 
Kanisome tena, usitie maneno yako kinywani mwangu. Nimesema hakuna hata mmoja "ataeachia ngazi".

Sasa wewe nioneshe mpaka dakika hii, ni yupi aliyeachia ngazi?

Kama huna hoja wacha kuhororoja na kubwabwaja.
 
Umekuwa lini mshauri wa rais???!! au unajustify pesa ulizopewa kwamba ulizifanyiya kazi???!!!! Ila una roho ngumu??!!!!kweli njaa mbaya.na kejeli zote toka kwa watanzania bado tu unaendelea kutetea wezi. Fungu lilikuwa kubwa sana nini???

Kama Mtanzania nna haki ya kumshauri Rais niliyemchaguwa kwa kura yangu.

Na usifikiri ni hapa JF tu, nimeshatuma email Ikulu. Kalagabaho.
 
MBOWE na ZITTO wote wezi tu waae, halafu wanaogopana kwa hiyo walitumka ESCROW kuwakutanisha
Hapa ndipo Watanzania tunapishana, kwani mwizi akimuona mwizi mwingine anaiba na hata kumpiga picha inamfanya asiwe mwizi!? Hii ni issue ya IPTL, subirini siku ukiibuka wizi mwingine nao wakahusika moja kwa moja tuone kama hawatajiudhuru!
 
Kikwete usikubali kusikiliza upuuzi,hawajibiki mtu hapa safi sana wanaume wa shoka hamyumbishwi kijinga jinga,izo zilikua kelele za siasa ukweli utabaki pale bale,fitina za wasira,lukuvi na wengineo watakufa nazo

kikwete usiwapoteze watu hawa plzzzz

Sijaona ulichoandika cha maana zaidi ya ushabiki maandazi ( Ghasia Style)....
 
Tunamshauri Rais asisikilize majungu. Hawa wachapa kazi hawafai kuachishwa kazi hata chembe.

Rais baki nao hawa umalize nao awamu yako, hayo majungu ya akina Mkono na Mengi yasikuyumbishe.

Naona sasa umeshavuta ule mshiko uliokuwa unaulizia kwa nguvu sana..Ila hiyo itakuwa ya muda itaisha utarudi kwenye ground level hata kama siyo wewe basi kwa watoto wako..
 
Tunamshauri Rais asisikilize majungu. Hawa wachapa kazi hawafai kuachishwa kazi hata chembe.

Rais baki nao hawa umalize nao awamu yako, hayo majungu ya akina Mkono na Mengi yasikuyumbishe.

Waweza kuwa hawa ghasia ama mdogo wake make matamshi yako ni sawa na aliyotoa bungeni!
 
Dada FaizaFoxy nakuheshimu sana, ukizongatia wite mm na wewe ni wa 'karma tukufu' na lakini kwa hili natofautiana na wewe
 
Last edited by a moderator:
Kama Mtanzania nna haki ya kumshauri Rais niliyemchaguwa kwa kura yangu.

Na usifikiri ni hapa JF tu, nimeshatuma email Ikulu. Kalagabaho.

Mhhh!! basi sikuwezi kama hadi email umetuma ikulu. sijui lakini kama JK atakuwa na muda wa kufungua email yako kabla hajawakatia shingo mbali wale majambazi waliosagwa sagwa na bunge.....yetu macho si tupo hapa jukwaani tutaona???!!!kweli pesa mwanaharamu nimeamini!!!!yani mtu mzima unakana utu wako hivi hivi kisa moniessss!!!!!!
 
Kumbe!! Unajibaraguza ili uitiwe ubwabwa na bahasha ya kaki iliyotuna? Kweli mvunja nchi ni mwananchi. Endelea kuwaamini hao wahuni, wezi na mafisadi. Vibarua vyao vitaota nyasi muda si mrefu ujao.

Kama Mtanzania nna haki ya kumshauri Rais niliyemchaguwa kwa kura yangu.

Na usifikiri ni hapa JF tu, nimeshatuma email Ikulu. Kalagabaho.
 
Tunamshauri Rais asisikilize majungu. Hawa wachapa kazi hawafai kuachishwa kazi hata chembe.

Rais baki nao hawa umalize nao awamu yako, hayo majungu ya akina Mkono na Mengi yasikuyumbishe.

Una macho huoni? hivi bunge kupitisha maazimio ya kuwajibisha watuhumiwa ni majungu? Unatumia ubongo au M.A.V.I?
 
Una macho huoni? hivi bunge kupitisha maazimio ya kuwajibisha watuhumiwa ni majungu? Unatumia ubongo au M.A.V.I?

Maazimio ya PAC ya awali kwanini yamefutwa? si walisema na Naibu Waziri awajibishwe? si walisema na Waziri Mkuu awajibishwe?
 
Tunamshauri Rais asisikilize majungu. Hawa wachapa kazi hawafai kuachishwa kazi hata chembe.

Rais baki nao hawa umalize nao awamu yako, hayo majungu ya akina Mkono na Mengi yasikuyumbishe.
aisee,una roho ya paka!!
 
Kutofautiana kwenye siasa imo. Wenyewe wanasema hakuna adui wa kudumu na hakuna rafiki wa kudumu kwenye siasa.
Agh, yaaani wewe ni bure kabisa, yani ovyo, tena ata ukiomba ubarozi mtaani kwako huwezi kupata kitu kutokana na itikadi zako za kishenzi.
 
Back
Top Bottom