Wenzetu wanapambana: ahueni kwa wagonjwa wa figo. Mwanzo mzuri wa mwisho wa dialysis

JABALI LA KARNE

JF-Expert Member
Apr 19, 2021
3,093
5,816
KidneyX imepewa tuzo baada ya kuonyesha mafanikio katika figo ya bandia ambayo itaondoa uhitaji wa Dialysis kwa wagonjwa wa figo.

Kifaa hicho kipya ambacho kimeweka matumaini makubwa katika kusaidia wagonjwa wa figo duniani, kina ukubwa sawa na simu ya mkononi, na kinawekwa ndani ya mwili na kusaidia kuchuja damu kama figo inavyofanya kazi bila kutumia umeme.

Kwa zaidi ya miaka mingi, KidneyX imefanya majaribio ya kutosha na imeonekana ni teknolojia bora katika kuondoa sumu, taka-mwili na bioreactors bila kutumia Dialysis.

Mafanikio hayo yatasaidia zaidi ya watu Milioni 850 duniani!

Source: Social media/clouds.
 
Jana nimeona taarifa kuwa wamefanya majaribio kupandikiza figo ya nguruwe kwa mwanadamu na imeonyesha mafanikio ya awali
 
Benjamin hosp Dom nao wamefanikiwa kufanya upandikizaji kwa mafanikiao makubwa
 
Back
Top Bottom