Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,377
- 217,440
Kama wote mlivyokwisha sikia kwamba kuna maeneo bila kuwa na ushahidi kwamba umechanjwa ili kujikinga na Corona hutakanyaga wala kutia pua yako, basi nchi zilizostaarabika na kuamua kufuata mwongozo wa WHO zimeanza kuwapa kadi za uthibitisho wa chanjo raia wake waliochanjwa ili wawe huru kupokelewa popote waendapo duniani.
Swali: Je, sisi Watanzania wengine ambao ni wafanyabiashara wa Kimataifa, tunaolazimika kusafiri hapa na pale duniani kwa sababu za kibiashara tufanyeje?
Swali: Je, sisi Watanzania wengine ambao ni wafanyabiashara wa Kimataifa, tunaolazimika kusafiri hapa na pale duniani kwa sababu za kibiashara tufanyeje?