Wenzetu waanza kupewa kadi za kuthibitisha wamepata chanjo ya Corona kama Jumuiya ya Kimataifa inavyoelekeza

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,362
217,394
Kama wote mlivyokwisha sikia kwamba kuna maeneo bila kuwa na ushahidi kwamba umechanjwa ili kujikinga na Corona hutakanyaga wala kutia pua yako, basi nchi zilizostaarabika na kuamua kufuata mwongozo wa WHO zimeanza kuwapa kadi za uthibitisho wa chanjo raia wake waliochanjwa ili wawe huru kupokelewa popote waendapo duniani.

Swali: Je, sisi Watanzania wengine ambao ni wafanyabiashara wa Kimataifa, tunaolazimika kusafiri hapa na pale duniani kwa sababu za kibiashara tufanyeje?

FB_IMG_1614853703089.jpg
 
View attachment 1717157

kama wote mlivyokwisha sikia kwamba kuna maeneo bila kuwa na ushahidi kwamba umechanjwa ili kujikinga na Corona hutakanyaga wala kutia pua yako , basi nchi zilizostaarabika na kuamua kufuata mwongozo wa WHO zimeanza kuwapa kadi za uthibitisho wa chanjo raia wake waliochanjwa ili wawe huru kupokelewa popote waendapo duniani .

Swali : Je sisi Watanzania wengine ambao ni wafanyabiashara wa Kimataifa , tunaolazimika kusafiri hapa na pale duniani kwa sababu za kibiashara tufanyeje ?
Subirini hapo hapo Ufipa mtaletewa chanjo kutoka China!
 
Shauri yao vibaraka hao, sisi hatuzihitaji humu nchini mwetu, kama ni safari, safari ya kwenda wapi! Kila kitu tunacho.
Maradhi tuliyonayo huku siyo Korona ni kupumua tu ambayo yanatibika na tangawizi ukichanganya na ndimu, sasa chanjo ya Korona itayakinga vipi?
Eee bhana eeee !!!
 
Hii ndiyo tofauti kati ya nchi zenye Marais wenye weledi na nchi yenye Rais mataputapu.Imagine wewe ni mfanyabiashara wa kimataifa halafu unakumbuna na hili!
Sasa itakuwaje , nashangaa kuwaona viongozi wakuuu wa dini ya kiislam wanapinga chanjo, na huko macca mwaka huu bila kuwa umepata chanjo ni marufuku kutia mguu!!kwenda kuhij!!akili hizi bwana yaani dunia nzima waende clockwise, wewe tena kiinchi maskini, ujifanye eti kwenda anticlockwise?? Mala eti ni vita ya kiuchumi!!!kwa kitu gani ulichonacho?yaani USA, awe na vita ya kiuchumi na CHINA, anaweza kuwa na vita na wewe!!
 
Nadhani sasa BAKWATA itajianika zaidi , kwamba lengo lao si Allah bali lengo lao kuu ni Hela wanazopewa barabarani bila utaratibu na kujengewa misikiti .
 
Tanzania isiingie kwenye huu mtego wa majaribio,
sikubali kupigwa hii chanjo ni hatari sana
 
Back
Top Bottom