Kumbe tuko wengi, sema tu kila mtu anapambana kivyake!
Haahaa Jamaa sijui kafikia wapi hadi asahivi
dogo lazima atakua kabeba uchawiHaahaa Jamaa sijui kafikia wapi hadi asahivi
Haahaa Jamaa sijui kafikia wapi hadi asahivi
Mtoa mada nae afanye kama mshkaji
Itakuwa uchawi Wa kupata kazi huo
Nilienda mkoa ambao hawajui level of education yangu nikawa saidia fundi then nikapata mtaji wa kununua machine ya kufyatulia matofali nikafungua site then hapo hapo site nikajuana na mzee fulani mkuu jeshini akanipa mchongo leo hii nipo kitengoni.Wadau mliopata kazi au hata biashara ndogo ndogo ambazo zinawapa japo visenti mbili vya kutatua shida za kimaisha mlitumia mbinu ipi ? Kukwepa kikombe hiki kigumu cha kuwa JOBLESS?
Maana tukiwaza kufanya biashara mitaji bado changamoto, tukijaribu kuomba nafasi za kazi hatuitwi hata kwa interview , shida sijui nyota au hamna marefa. Tupeni mbinu na sisi tufate kukikwepa ichi kikombe cha adhabu ya kuwa jobless .