Dogo GSM
Member
- Jul 31, 2021
- 65
- 91
Halloo..habari za weekend ndugu zanguni,
Nimeona hii nchi nyingi zenye machafuko haswaa ndipo huajiri vijana wenye umri mdogo sana katika kazi hizo nadhani ni kutokana na uwepo wa hayo machafuko haswaa nchi za kiarabu huko.
Hapa Afrika nimeona nchi kama nigeria,Somalia,na kwingine kote wanaajiri recruits mpaka wa miaka 16 lol!.NCHI hizo hakuna haja ya koneksheni wala hongo ambapo ni tofauti na huku Afrika mashariki au kusini ambako kupata nafasi jeshini ni kwa makolokolo mengii.
Wenzetu nchi za ulaya na Amerika huko waliosoma sana kazi za polisi na jeshi sio kipaumbele chao wala hawazishobokei.
Nimeshangazwa na taarifa ya askari wa kike wa US NAVY Nicole gee aliyefariki katika machafuko huko Afghanistan amezaliwa mwaka 1998 na amedanja akiwa na rank ya sergeant (sajenti) wakati huku kwetu usajent umekaa kisiasa sana yaani kila sajent ni kuanzia 50yrs.