Wenzetu Angola

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
48,918
54,122
Pamoja Na Hali Zao Ila Wakubwa Wanaguswa Na Vyombo,Video Hii
Angolan financial and criminal investigation services have just arrested a General close to former President José Edouardo dos Santos at his home with 10 million dollars, 700 million euros, 800 million without counting luxury cars , buildings, houses and land


Tanzania Wakubwa Wanatazamwa
 
Pamoja Na Hali Zao Ila Wakubwa Wanaguswa Na Vyombo,Video Hii
Angolan financial and criminal investigation services have just arrested a General close to former President José Edouardo dos Santos at his home with 10 million dollars, 700 million euros, 800 million kwanza without counting luxury cars , buildings, houses and land

View attachment 1801717
Tanzania Wakubwa Wanatazamwa
Kina nani hao Tz?
 
Please admin nielezeni jins ya kuepuka hili tatzo @maxmelo
20210529_204604.jpg
 
Kamata na ile toto ya rais inajifanya mwanamke tajiri kuliko wote Africa sababu ya ufisadi
 
Mtu unashindwaje kuficha pesa,yaani huwezi hata kununua pande la dhahabu au basi tanzanite kama ile iliyoibiwa na akina Benjamini kipindi cha msiba wa danga la ntuyabaliwe
 
Wa chatoh alijipigia zake Tsh. 1.5 trilion za wanyonge kiroho Safi.

Nasema uongo ndg zanguuuuuuuuuu?
 
Mtu unashindwaje kuficha pesa,yaani huwezi hata kununua pande la dhahabu au basi tanzanite kama ile iliyoibiwa na akina Benjamini kipindi cha msiba wa danga la ntuyabaliwe
Inaitwa Za Mwizi Ni 40 Ndiyo Imefika Hiyo
 
Political figures wamekuwa wanafanya watakalo mwa vile hawapelekwi mahakamani
 
Back
Top Bottom