Wenzetu Angola

Pamoja Na Hali Zao Ila Wakubwa Wanaguswa Na Vyombo,Video Hii
Angolan financial and criminal investigation services have just arrested a General close to former President José Edouardo dos Santos at his home with 10 million dollars, 700 million euros, 800 million without counting luxury cars , buildings, houses and land

View attachment 1801717
Tanzania Wakubwa Wanatazamwa


Huyu naye jinga kweli, pengine alikuwa General wa miskukule si bure. Hela yote hiyo anakaa nayo ndani ya nyumba.
 
Yaani viongozi wa kiafrika mandezi kweli yani,ningekua na uwezo ningeunda kikosi kazi Cha kuwashughulikia yaani natumia intelligence kukamata mmoja mmoja nachapa mboko za uhakika mbaka anasema madudu yake yote

Kama umecheki zile movie za Jigsaw
Nadhani umeelewa mbinu nitakazotumia dadeq!
😂😂😂
 
Back
Top Bottom