Tell us about your backgroundSwali lenyewe liliulizwa " What is going on before you???" je ni sawa na swali la "Tell us about you"
Mie ningemuuliza, " What do you mean what's going on before me?"Swali lenyewe liliulizwa " What is going on before you???" je ni sawa na swali la "Tell us about you"
Kwanini hakuuliza hivyo?Tell us about your background
Kwasababu huyo muulizaji ni mnoko alikuwa anataka kukukwamisha tu kwa masuala ya kilugha.Kwanini hakuuliza hivyo?
Haya mambo ya " I am fire of dreaming far" yani "mimi ni moto wa kuotea mbali".anamaanisha background yako, maana before you ni kabla yako, so means kitu kilicho nyuma yako in other words your background
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha asee!Haya mambo ya " I am fire of dreaming far" yani "mimi ni moto wa kuotea mbali".
Kuna utata mkuuWhat is going on before you haimaanishi nini kinaendelea kabla yako.
Maana yake ni nini au mambo gani yanaendelea (mbele yako) kwa wakati unapoulizwa swali.
Epukeni sana word-to-word translation, mnaharibu maana iliyokusudiwa.
Hakuna utata hapo. Otherwise muuliza swali awe amejichanganya.Kuna utata mkuu
Utata upo mkuu katika tenseHakuna utata hapo. Otherwise muuliza swali awe amejichanganya.
"Before you" kwa context ya mleta mada haina maana ya "kabla yako".
Inamaanisha "mbele yako".
Tense ya "what is going on before you" ni Present Continuous. Hakuna utata hapo.Utata upo mkuu katika tense
Asante mkuu
Kweli nimekupata labda ingekuwa past "what was going on before you" ingemaanisha backgroundTense ya "What is going on before you" ni Present Continuous. Hakuna utata hapo.
Mimi na kiingereza changu cha GoT schools nimeona swali hilo ni kama kaulizwa "Tell us about you" wakimaanisha ajieleze historia na sifa zake professionally na education wise kulingana na kazi aliyo omba.Tense ya "what is going on before you" ni Present Continuous. Hakuna utata hapo.
Hiyo sentensi ni sawa na angeulizwa "what is happening infront of you".