Wenzangu mlivuka vipi haya maumivu makali ya kuachwa?

Demu mwingine? Nope. Kurecover ni ww na roho yake. Demu mwingine akusaidii .. lolote zaid ya kukupa raha ya muda mfupi halaf unarudoa pale pale kwenye maumivu
Tafuta dem mwingine atakusaidia kurecover. Hivi hivi utaishia kujiua.
 
Habari wakuu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26.

Niliwahi kuleta uzi hapa mwezi wa nane baada ya mwanamke niliye mpenda saana kuniacha.

Source tuliweza kupishana yapata wiki moja nyuma,ilivyo fika wkend aliweza kuniaga Rasmi.
Nilifanya juhudi za kumrudisha,alinijibu kuwa amepata mtu mwingine..niliweza kumuuliza mbona mapema hivo?

Alinijibu kuwa kabla hatuja achana,alikuwa anafatiliwa na jamaa.hivo baada ya zile tofauti zetu aliweza kumkubalia jamaa..na hatimaye kuchukua uamuzi wa kuniacha.

Mwanzon nilikuwa imara saana,sikuwa stressed.ila baada ya kupita wiki mbili hali ilibadilika mnoo.

Nimekuwa mtu wa kumuwaza muda wote.kazi haziendi kabisa..nmetafuta mbinu zote imeshindikana.

Nmeweza kufuta kila kitu kinacho muhusu yeye,ingawa namba yake ya simu bado ninayo kichwani.

Cha kushangaza huyu mwanamke ameanza kunitext,ni mara ya tatu sasa akidai ananipa Hi..
Huwa sijibu sms wala kupokea simu yake,maana hata inavo ingia simu yake Maumivu huongezeka zaidi.

Naomba msaada wenu hasa kwa wale wataalamu wa kisaikolojia.au hata wale walio wahi kupitia hii hali,mliweza vipi kupona?

Nipo tayar kulipia gharama kama ikihitajika.

Maana najiona kabisa ninavyo poteza uelekeo,niko over depressed.nilitegemea muda uniponye,matokeo yake kadri muda uendavyo ndo ninazidi kuwa katika worse situation.
Siwezi Kula ipasavyo,usingizi sipati.naelemewa na mawazo kuhusu yeye,machozi hutoka automatic hata nikiwa kazini,.kazi za watu haziendi kabisa

Nmedumu na huyu mwanamke for almost miaka 3.nimekuwa nikifanya kila jambo ambalo mwanamke hupaswa kufanyiwa.

Imefikia kipindi,wanajitokeza wanawake wananipenda mno,lkn mimi siwapend hata kidogo..mawazo yote yapo kwa huyu mwanamke aliye niacha.

Ee Mungu nisaidie mimi mja wako niweze kuvuka hii hali ninayo ipitia.
Karibuni kwa mawazo yenu wakuu.Natanguliza shukurani.
Hauko pekeyako tupo wengi.
 
Pole sana, nadhani ni suala la wakati tu...itapitaaa

Pole sana kijana ,hiyo hali tumepitia wengi,but itafika wakati utasahau kabisa,Mungu katuumbia kusahau kijana,pia jaribu kujichanganya usikae muda mwingi mwenyewe na onge na ndugu au marafiki wa karibu juu ya hilo utapata ahueni.Niliwahi achwa nami na binti kama style yako,but now nasonga bila shida.Usimwamini sana mwanamke katika mahusiano.Na hapo sasa ukipapita utakua umekua kidume
 
Shukurani kwa ushauri wako mkuu.
 
Jitahidi sana usikae mwenyewe. Na mm at your age yalinipata yako. Unajua nilichofanya? Well niliondoka nilipo nikaenda mji mwingine kuish na watu tofauti. Niseme walichangia asilimia kubwa kupona kwangu.

Kama huwa unapita sehem ambazo mlikuwa mkispend pamoja basi usiende tena, hata wale waliokuwa wanawajua kaa nao mbali kwa muda. Usijiunge na group mbaya utapotea. Spend muda wako kwenye hobbie nyingine kama mpira hiv... n.k.

This time akikutafuta mwambie unahitaji muda , unahitaji muda wa kupona so uhitaji mawasiliano naye kwa sasa.

Acha stori za kufikirika....mtu yupo na kazi yake hapo then atahamaje?...
 
Siku zote mnaambiwa msiwe na demu mmoja .....mimi nimeshaachika mara nyingi lakini nilikuwa namsogeza anayefuatia....Hadi leo naishi hivyohivyo...hawa viumbe hutakiwi kuwapa moyo wako wote....
 
Ni kweli inaumiza sana lakini wewe mshukuru Mungu tu, Lipo kusudi la yote hayo kutokea.. Wapo wengi waliodhani kuwa hawatopona maumivu ya mahusiano lakini wamefanikiwa ku move on na leo wanafurahia maisha.. Hata wewe utapona, just be still, You shall overcome this..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom