Wenzangu katika hili, mwaka mpya huu tupambane kwa nguvu zote tupunguze "Kilaji"

kluger

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
2,072
2,000
Ahsalaam Alekum!!

Wenzangu katika hili, mwaka mpya huu tupambane kwa nguvu zote, jirani, rafiki, michepukus na kadhalika; POMBE siyo jamani.

Hii kitu, inatuaibisha, kutuchelewesha, kutupa maradhi na kutuvunjia heshima. Hivi kwa nini tusipumzikee??

Kitu hii, ishavunja mahusiano mengi tu, ukiacha yale ya ndoa.

Kilaji, kimeshapoteza, ndugu zetu wa dhati kwa kulewa na kupata ajali.

Vile vile kilaji kimeshatuletea ulemavu wa kila aina, kupoteza ajira na kutugombanisha na ndugu zetu.

Tunakwama wapi, jambo hili kuliacha?

Kilaji, kimesha sababisha kutenda Gwaride kuu, bila Buti, yaani peku puke Jangwani!

Kilaji, kimesababisha, kuhonga, nyumba

Kilaji kimeleta yote haya!
 
Attachments

 • 20210103_014323.jpg
  File size
  35.3 KB
  Views
  0
 • 20210103_020122.jpg
  File size
  41.3 KB
  Views
  0

Mirlz B Matthew

JF-Expert Member
Oct 10, 2011
1,732
2,000
Dah....Siku ya 4 leo sijakula monde nimejifanya kuacha kisa sina mkwanja... January hii ipite tu
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
11,094
2,000
Ahsalaam Alekum!!

Wenzangu katika hili, mwaka mpya huu tupambane kwa nguvu zote, jirani, rafiki, michepukus na kadhalika; POMBE siyo jamani.

Hii kitu, inatuaibisha, kutuchelewesha, kutupa maradhi na kutuvunjia heshima. Hivi kwa nini tusipumzikee??

Kitu hii, ishavunja mahusiano mengi tu, ukiacha yale ya ndoa.

Kilaji, kimeshapoteza, ndugu zetu wa dhati kwa kulewa na kupata ajali.

Vile vile kilaji kimeshatuletea ulemavu wa kila aina, kupoteza ajira na kutugombanisha na ndugu zetu.

Tunakwama wapi, jambo hili kuliacha?

Kilaji, kimesha sababisha kutenda Gwaride kuu, bila Buti, yaani peku puke Jangwani!

Kilaji, kimesababisha, kuhonga, nyumba

Kilaji kimeleta yote haya!
Kodi za kuijenga Chato zinasababisha watu wawe na stress.
 
am 4 real

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
395
1,000
Ahsalaam Alekum!!

Wenzangu katika hili, mwaka mpya huu tupambane kwa nguvu zote, jirani, rafiki, michepukus na kadhalika; POMBE siyo jamani.

Hii kitu, inatuaibisha, kutuchelewesha, kutupa maradhi na kutuvunjia heshima. Hivi kwa nini tusipumzikee??

Kitu hii, ishavunja mahusiano mengi tu, ukiacha yale ya ndoa.

Kilaji, kimeshapoteza, ndugu zetu wa dhati kwa kulewa na kupata ajali.

Vile vile kilaji kimeshatuletea ulemavu wa kila aina, kupoteza ajira na kutugombanisha na ndugu zetu.

Tunakwama wapi, jambo hili kuliacha?

Kilaji, kimesha sababisha kutenda Gwaride kuu, bila Buti, yaani peku puke Jangwani!

Kilaji, kimesababisha, kuhonga, nyumba

Kilaji kimeleta yote haya!
Baada ya kazi kuuchangamsha mwili na akili sio mbaya....

Tatizo sio pombe tatizo Ni watu wenyew....
Pombe sio mbaya pombe HAINA tatizo
Tatizo lina anzia KWA mtumiaji mwenyewe...
Pombe atabakia kua mbuzi wa kafara....

Watu wote wangekua na principal Kama zangu may be mtoa uzi muda huu asinge kuja kuandika huu uzi......

Kunywa kwa kiasi usizidishe kipimo....

Usipende kuokota wanawake wa bar.......

Kunywa baada ya Kazi.....sio muda wa kazi wewe unawaza pombe......

Epuka marafik na kampani za ajab ajab......

Siku zote itawale pombe sio pombe ikutawale wewe...

Watu wengi wakinywa pombe hutoa yote ya moyoni........

Usi itese na kuikosesha raha na furaha familia Yako kisa ulevi.......

Hizo fact hapo juu pengine zinaweza kusaidia....

Cc Mshana Jr
 
maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
9,128
2,000
Mi madem ndo nilipanga niache....ila nashangaa hata nusu mwez bado nshakula watatu...afu wiki ijayo kuna wawili tena mweeeh
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
55,503
2,000
Ahsalaam Alekum!!

Wenzangu katika hili, mwaka mpya huu tupambane kwa nguvu zote, jirani, rafiki, michepukus na kadhalika; POMBE siyo jamani.

Hii kitu, inatuaibisha, kutuchelewesha, kutupa maradhi na kutuvunjia heshima. Hivi kwa nini tusipumzikee??

Kitu hii, ishavunja mahusiano mengi tu, ukiacha yale ya ndoa.

Kilaji, kimeshapoteza, ndugu zetu wa dhati kwa kulewa na kupata ajali.

Vile vile kilaji kimeshatuletea ulemavu wa kila aina, kupoteza ajira na kutugombanisha na ndugu zetu.

Tunakwama wapi, jambo hili kuliacha?

Kilaji, kimesha sababisha kutenda Gwaride kuu, bila Buti, yaani peku puke Jangwani!

Kilaji, kimesababisha, kuhonga, nyumba

Kilaji kimeleta yote haya!
Mimi sijapata alcohol ya aina yoyote tangu January 03 2021.

Nataka kukaa mwaka mzima bila kunywa pombe ya aina yoyote.

Ni maamuzi tu. Sina tatizo lolote nikinywa, nimeamua kupumzika tu kujiridhisha nina i control pombe, pombe haini control mimi.
 
Trinity

JF-Expert Member
Jul 20, 2017
541
1,000
Baada ya kazi kuuchangamsha mwili na akili sio mbaya....

Tatizo sio pombe tatizo Ni watu wenyew....
Pombe sio mbaya pombe HAINA tatizo
Tatizo lina anzia KWA mtumiaji mwenyewe...
Pombe atabakia kua mbuzi wa kafara....

Watu wote wangekua na principal Kama zangu may be mtoa uzi muda huu asinge kuja kuandika huu uzi......

Kunywa kwa kiasi usizidishe kipimo....

Usipende kuokota wanawake wa bar.......

Kunywa baada ya Kazi.....sio muda wa kazi wewe unawaza pombe......

Epuka marafik na kampani za ajab ajab......

Siku zote itawale pombe sio pombe ikutawale wewe...

Watu wengi wakinywa pombe hutoa yote ya moyoni........

Usi itese na kuikosesha raha na furaha familia Yako kisa ulevi.......

Hizo fact hapo juu pengine zinaweza kusaidia....

Cc Mshana Jr
Hizo ni fact kutoaminisha pombe haina tatizo tuendelee kuipiga au sio!?

Hizo facts ndo zinafanya wengi wanywe pombe mwisho wanajikuta walevi wa kutupwa.

Msimamo mzuri bora kuacha tu haina mana pombe.

Mwaka jana nimepiga kiasi pombe kwa mwezi once saa zingine inapita mpaka miez 2 sijagusa.
Lakin mwaka huu nimesema pombe NO!
Sionji hata chupa moja siitaki kabisa hiyo kitu.
Kuna kitu kingine nacho nimekiingiza kwenye big NO.!

Binadamu tubadirike kutoka hasi kwenda chanya.!

Na Mungu atatubariki.!
 
kissa anyigulile

JF-Expert Member
Apr 21, 2017
727
1,000
Nimefanya uchunguzi binafsi, nimeona wengi wamepunguza sana au kuacha kabisa pombe. Sio kwamba tatizo ni kipato, no, wameamua.
Wengi hivi sasa hawapendi kujichanganyachanganya kwenye mikusanyikomikusanyiko isiyo na tija kama mabaa mabaa, sijui mpirani, nk.
Imebaki kwa watu wale ambao wapowapo tu bila kuwa na shughuli maalum. Ndio utawakuta wako kwenye mabaa mabaa, drafti, bao, mabishano ya Mpira nk
Chunguzeni mtaona!
 
Baba Heri

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
1,132
2,000
Za kuambiwa changanya na zako, ukiacha pombe bila kujipanga ni either uwe kichaa au ufe.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom