Wenzangu, hivi Emirates FA Cup mnaiona kupitia startimes?

NIMEONA

JF-Expert Member
Aug 4, 2019
3,866
5,683
Natumia kisimbusi cha startimes na hivi karibuni waliahidi kuonyesha mashindano ya emirates kwa kuanzia kifurushi cha 21,000/=

Ajabu ni kuwa mi sioni chochote, kila nikitembelea channel zao za michezo, premium, focus, life na arena zote hamna kitu. jana ilikuwa chelsea na hull city saa 2.30......nimekaa we kusubiri wapi badala yake nakuta tu matangazo ya bundesliga.

Hivi ni mimi tu au na wenzangu ni hivyohivyo?
 
Mbona mechi zinarushwa labda kuna tatizo jingine tu wasiliana nao
Natumia kisimbusi cha startimes na hivi karibuni waliahidi kuonyesha mashindano ya emirates kwa kuanzia kifurushi cha 21,000/=

Ajabu ni kuwa mi sioni chochote, kila nikitembelea channel zao za michezo, premium, focus, life na arena zote hamna kitu. jana ilikuwa chelsea na hull city saa 2.30......nimekaa we kusubiri wapi badala yake nakuta tu matangazo ya bundesliga.

Hivi ni mimi tu au na wenzangu ni hivyohivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wachina nilisha achana nao kitambo

Kisimbusi cha azam kwa elfu 18 naona

EFL cup mechi zote
FA cup mechi zote
LALIGA mechi zote
Vodacom Tanzania mechi zote muhimu
Azam confederation cup mechi zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom