Wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama ni CIC kwenye maeneo yao?

MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
4,081
5,061
Wakuu wa wilaya na mikoa ndio wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama katika maeneo yao. Je, inawapa nguvu kiasi gani kwa vyombo vya usalama vilivyopo kwenye maeneo yao?

Tulimuona Gondwe na combat za JW wakati wa majanga ya asili, tukaona JW wakifyeka bangi kwa amri ya DC na jana tumeona RPC anamcharukia mbunge kwa kujibu kauli ya RC.

Mamlaka yao juu ya vyombo vya usalama yapoje?
 
Back
Top Bottom