Wenyeviti wa kamati za kudumu za Bunge PAC na LAAC wapinga wanaojibu ripoti ya CAG kabla ya kupelekwa Bungeni

Kama ambavyo wananchi TUNADAI HAKI YA KUSEMA na kukosoa kiongozi wa umma nae ana HAKI YA KUJITETEA na KUFAFANUA.

Sio lazima tukubali wanachosema.
 
Safi sana mwenyekiti watanzania wa Leo sio wa enzi za mkoloni wanafuatilia na kuona kila kitu ambacho mawaziri wanajaribu kukifanya mtamkinga sana lakini Mungu wa haki amesikia kilio chetu......mmetudanganya sana Mara ooohh raising wa wanyonge!!!!unyonge gani mnazidi kutunyonga.tumechooookaaaa
 
Maaskofu wakisema watu waende kutubu, wanahojiwa uraia wao. Kuna tatizo hapa. Hata kutofuata au kuvunja katiba ni dhambi. Mkubwa akitubu, si Mwakyembe, Mpango, Ummy, au Lukuvi atafungua mdomo wake. hawa wanajaribu kusafisha kisochosafishika.
 
Why is this thing so hard to understand??Maelezo ya Zito na Pole Pole wote yanatokana na source moja - the CAG Report. Kimsingi hizi ni hesabu za kiuhasibu, lakini vile vile ni principles zinazo eleweka to everybody with basic knowledge of Maths, kwamba 1+2-3=0. Sisi wengine hatujaipata wala hatuna access ya kuisoma hiyo source of information lea Sasa hivi - the CAG Report, lakini wale waliopata nafasi hiyo ya kuisoma wanatwambia jibu tofauti la hesabu moja. Who is lying to us? Zito or Polepole? Cha ajabu sasa, kana kwamba watanzania wote ni wajinga, wale wooote ambao bado hawana access na hata chembe ya msitari mmoja wa hiyo taarifa wapo humu mitandaoni kutwambia pesa yao imeibiwa au haijaibiwa na familia ya mtu bila aibu kwa ajenda za kisiasa. Financial auditing ni professional discipline inayoheshimika with ethical norms. Hii tabia na ukakasi wa kudesrort taaluma za watu for political scores ni kitu cha hovyo. Bunge lina kamati ya mahesabu ya pesa za umma na jukumu lao kubwa kufuatilia maswala kama haya na kuyatolea taarifa, and neither .r Zitto nor Mr Polepole is any part of this. Most importantly, you guys in this forum sweating in your pit arms with the view to misled the public by distorting art of the auditor's work should be ashamed. 1+1=2. You can never disprove that in anyway.
 
Hiiii ishu mufaaangaa angekuwepo nafkiri moto ungewaka. Get well soon urud tuu
 
nayakumbuka maneno ya lowassa aliposema tatizo la ccm ni mfumo, na kweli hata atujafika mbali yule anaejiita malaika,jiwe,mchapakazi,mchamungu,rais wa wanyonge tayari nae kaanza ukwapuzi pamoja na timu yake,
 
Hiyo serikali ya CCM ya awamu ya 5 hivi sasa inatafunwa na laana ambayo haitawaacha salama..........

Angalia sasa kila kiongozi wa CCM anakurupuka na kumjibu CAG kinyume cha utaratibu

Hiyo yote inatokana na CCM kuwaona wapinzani kama WAHAINI ndani ya nchi yao badala ya kuwaona ni wadau muhimu wa maendeleo ya nchi yetu
 
duu macho yangu yanazini kuwa makubwa kila siku na kichwa kinaongezeka ukubwa. kimeanza kunizidi uzito maana hili jiwe ni zito kwelikweli:confused:
 
Majizi yanazidi kuumbuka kwa kutofata utaratibu kuja na fact za uongo kama za kilaza polepole wakati nchi inautaratibu wake na kanuni walikuwa wapi?kupangua taarifa ya CAG mwanzoni.Wafate utaratibu tuliojiwekea sio mawaziri wanakulupuka kujimbu wakati taratibu wanazifahamu ila wanataka kupotosha uma ili CAG aonekane afanyi kazi yake kwa weledi
 
Back
Top Bottom