YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,995
Uchaguzi ukipita chama kikashindwa timu nzima ya uongozi ulikowepo unatakiwa uachie ngazi upishe timu mpya.Vyama vinavyounda UKAWA kushindwa UCHAGUZI inaonekana kuwa ni sifa ya uongozi uliokuwepo kuendelea kushika madaraka.CCM wakishinda wanabadilisha viongozi wakati UKAWA wakishindwa viongozi walikuwepo wanapigiwa debe waendelee !!! Kituko