Wenyeji wangu Kuaga Maiti hotuba masaa sita?

msumeno

JF-Expert Member
Aug 3, 2009
2,827
1,729
Tembea uone. By the way naheshimu sana mila za watu nawezka hili wazi kabisa. Ila kuna mengine da!! wenyeji wangu hapa nilipo ukialikwa kwenye msiba jiaandaee. Mwili unatolewa Mochwali na kupelekwa nyumbani kuangwa , huko sasa hotuba zinaanza kila mwanafamilia lazima aseme neno, majirani nao, na waliosoma nae , na kama kuna wafanyakazi wenzie. sasa kasheshe kama marehemu amefia Kijijini ndio balaa , utakuta mwili mpaka kama unaharibika , wanachofanya ni kuuweka pembeni kwenye direction ya upepo na hotba zinaendelea mpaka wamalize na hapo bado mchungaji

da!!
 
Uache tabia ya kuwapangia watu taratibu zao; huyo alikua ni mpendwa wao.
 
Afadhali ya hiyo, unakuta umeenda kwa mlokole na una njaa na huna hela mara chakula kimekuja, ataanza kusali saa nzima mpaka chakula kinapoa, hapo ndiyo utajuwa kwa nini ndege haina side mirror
 
Wanyankore balaa, wanaweka na MC Jeneza uwanjani jua kali au mvua inanyesha ndio wanaanza sasa kuwaga hotuba, wakistukia mwili kuanza kutema wanahamishia pembeni na umati, hotuba zinaendelea
 
Back
Top Bottom