Wenyeji wa Mtaa Huu, nipokeeni mgeni wenu

Kigogo Jr

Member
Sep 5, 2019
36
61
Mwidiwe!!
Nimekuwa nikipita sana JF, hatimae Leo nimejiunga rasmi kutokea Kaskazini Magharibi mwa Tanzania. Nadhani hapa nilipo, wilaya yote hii Mimi ndiyo Wa Pili kujiunga Baada ya Diwani Wa Kata.

Naomba mnipokeee.
 
Wapi hiyo muzee?
 
Back
Top Bottom