Wenyeji wa Jamvi Naombeni kunijulisha HILI Tafadhali.

Liverpool

Member
Dec 8, 2010
29
0
Mimi ni mgeni hapa jamvini lakini nimejaribu kupitia Post za wanajamvi lakini CJAWAHI kuona,kusoma au mchango wa Mh JMK ndani ya Jamvi je? Hatembelei humu ndani kama afanyavyo Dr Slaa?Au ameshawa2pa wapiga kula kwa maana ameshapata alichokipata japo ni kwa njia ya panya?Viongozi wa Juu Onyesheni uzalendo basi kwa kujumuika na wapiga kura wenu napenda kumpongeza Dr Slaa kwa juhudi zake Hakika wewe ni Mkombozi wetu.
 
Back
Top Bottom