Wenyeji wa Dodoma naomba mnisaidie jambo

mcTobby

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
2,984
9,301
Wakuu poleni na majukumu ya kulijenga taifa. Nipo hapa kuwaomba kama kuna yoyote mwenyeji wa Dodoma anisaidie anwani ya shule ya St.Marks pre and primary school.

Nitawashukuru sana waungwana maana ni suala urgent ndio maana nikawaomba wanaJF
 
Wakuu poleni na majukumu ya kulijenga taifa. Nipo hapa kuwaomba kama kuna yoyote mwenyeji wa dodoma anisaidie anwani ya shule ya st.marks pre and primary school. Nitawashukuru sana waungwana maana ni swala urgent ndio maana nikawaomba wana jf
Umewapata? Kama bado, cheki nao kwa 0767044797
 
Back
Top Bottom