Wenyeji wa Dar, kati ya Tabata Segerea na Kimara, ni wapi mbali kwenda Ubungo

Wenyeji wa dar washamba Sana ,,ujanja mwingi kumbe wanaishi kwa mihogo ya 200 na vitumbua vya 100 kupitisha siku
 
nimeishi dsm kwa miaka 15, hadi nilipohama ndipo nilikuja kujua kuwa kuishi pale ni ushamba na kujitakia umasikini. dsm watu wa kawaida wanaishi maisha magumu sana lakini wao huwa hawaelewi, huwa wanaamini wanaishi vizuri kuliko watu wengine.
 
Google tu mkuu dunia iko kiganjani kwako....kutoka Tabata segerea Hadi ubungo mataa km 12.3 kutoka kimara mwisho bus stop Hadi ubungo mataa km 5.6...kama unaingia ndani ndani jikadirie zaidi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
nimeishi dsm kwa miaka 15, hadi nilipohama ndipo nilikuja kujua kuwa kuishi pale ni ushamba na kujitakia umasikini. dsm watu wa kawaida wanaishi maisha magumu sana lakini wao huwa hawaelewi, huwa wanaamini wanaishi vizuri kuliko watu wengine.
Kuna mdogo wangu Jana nimemwambia km unataka kufanikiwa usirudi Tena Dar...yaan hataki kunielewa huku akidai dar Kuna koneksheni na maneno kibao...

Nimemwacha aende lkn ukweli dar Ni jiji la hovyo Sana
 
ni jiji la kimaskini, unatakiwa uishi kama umeshatengeneza pesa na kilichobaki ni kutumikisha watu wengine ili pesa yako iendelee kuwa maintained, na hao wanaotumikishwa ndio hao huwa hawataki kuondoka Dar.
 
nimeishi dsm kwa miaka 15, hadi nilipohama ndipo nilikuja kujua kuwa kuishi pale ni ushamba na kujitakia umasikini. dsm watu wa kawaida wanaishi maisha magumu sana lakini wao huwa hawaelewi, huwa wanaamini wanaishi vizuri kuliko watu wengine.
Mna wivu na wakazi wa dar
 
Google map haiongopi

Screenshot_20211103-132045.png

Screenshot_20211103-132159.png
 
Back
Top Bottom