Wenyeji Naomba Mnikaribishe Jamani Mgeni Humu. HODI.

MzaramoTz

JF-Expert Member
Dec 13, 2017
1,829
2,986
Habari wandugu.

Natumai mko vyema kabisa. Well, mwanafamilia mwenzenu hapa naomba kukaribishwa wandugu.

Najiskia faraja sana kuwa mmoja wa wanafamilia wa JamiiForums.

Thanks a lot.
 
karibu.Ila kuna uzi Fulani hivi kwa kiasi unaelezea maisha ya jf. umetolewa Leo. si mbaya ukaupitia si mbaya Utakusaidia mbeleni
 
karibu.Ila kuna uzi Fulani hivi kwa kiasi unaelezea maisha ya jf. umetolewa Leo. si mbaya ukaupitia si mbaya Utakusaidia mbeleni
Thanks a lot kiongozi. Unasemaje huo uzi mkuu. Sio mbaya kama ntapata link mkuu.

Ubarikiwe sana mkuu. Thanks.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom