G M S
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 502
- 53
Habarini jf members! Sasa mimi kama nilivyojieleza ni mgeni katika ulimwengu wa wapendanao kwa ufup sijawahi jihusisha kabisa na harakati za kutafuta au kudeal na wasichana hadi sasa ila nadhani huu ni muda muafaka coz masomo nilimaliza nipo chuo na wenzangu wanasema huu ndio muda sasa naomba maelezo hivi hawa wachumba ntawapata vp wenye kujitambua na ambaye anajijali yeye na maisha yake pia? Af kipengele cha dini na kabila je navyo vikoje? Nahitaji msaada kuhusu hayo nawasilisha kwenu!¡