Wenyeji msaada kwa mi mgeni!*

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Habarini jf members! Sasa mimi kama nilivyojieleza ni mgeni katika ulimwengu wa wapendanao kwa ufup sijawahi jihusisha kabisa na harakati za kutafuta au kudeal na wasichana hadi sasa ila nadhani huu ni muda muafaka coz masomo nilimaliza nipo chuo na wenzangu wanasema huu ndio muda sasa naomba maelezo hivi hawa wachumba ntawapata vp wenye kujitambua na ambaye anajijali yeye na maisha yake pia? Af kipengele cha dini na kabila je navyo vikoje? Nahitaji msaada kuhusu hayo nawasilisha kwenu!¡
 
Unadhani ukifika chuo bac ndo mwisho wa kusoma m2 wangu fanya bidiiiiiiii na masomo madem wapo na wataendelea kuwepo milele na milele.Tchao!!!
 
We nenda ukapimwe akili. Kama umri huo bado haujapata msichana, hizo mbegu hazifai tena. Zimechacha.
 
Habarini jf members! Sasa mimi kama nilivyojieleza ni mgeni katika ulimwengu wa wapendanao kwa ufup sijawahi jihusisha kabisa na harakati za kutafuta au kudeal na wasichana hadi sasa ila nadhani huu ni muda muafaka coz masomo nilimaliza nipo chuo na wenzangu wanasema huu ndio muda sasa naomba maelezo hivi hawa wachumba ntawapata vp wenye kujitambua na ambaye anajijali yeye na maisha yake pia? Af kipengele cha dini na kabila je navyo vikoje? Nahitaji msaada kuhusu hayo nawasilisha kwenu!¡

Unataka wachumba wangapi boss?
soma kwanza bana,hakuna cha muda ndo huu wala muda bado.
Itakuja automatically tu,otherwise ukifuata mkumbo kwamba
kwakua huu ndo muda ngoja niingie kwenye "kundi" unaweza jikuta
umeangukia kwenye kundi la simba.
 
upo chuo mkuu, hujamaliza masomo...
uzoefu unaonyesha wengi wa vijana wanaoanzia hiyo mambo chuoni, shule huwa inawashinda na kuliwa vichwa...
dogo ishi uwezavyo na sio watakavyo, achana na ishu za mikumbo mabinti wa chuo sio utapoteza tu..
 
We nenda ukapimwe akili. Kama umri huo bado haujapata msichana, hizo mbegu hazifai tena. Zimechacha.

Mzee wewe ndio ukapimwe akili maana unaongea pumba, kijana anayejiheshimu vizuri na kufuata maadili ya Mungu vizuri kwa umri wa kufika chuo mbegu haziwezi kuganda, tafuta wataalam wa afya wakupe elimu ya kutosha.
 
Habarini jf members! Sasa mimi kama nilivyojieleza ni mgeni katika ulimwengu wa wapendanao kwa ufup sijawahi jihusisha kabisa na harakati za kutafuta au kudeal na wasichana hadi sasa ila nadhani huu ni muda muafaka coz masomo nilimaliza nipo chuo na wenzangu wanasema huu ndio muda sasa naomba maelezo hivi hawa wachumba ntawapata vp wenye kujitambua na ambaye anajijali yeye na maisha yake pia? Af kipengele cha dini na kabila je navyo vikoje? Nahitaji msaada kuhusu hayo nawasilisha kwenu!¡

chagua wa dini yako maana difference ya kidin ina uzito mkubwa hata kama akibadili dini na kukufuata tafuta unayempenda ili aingie kwenye makadilio ya ndoa yako takatifu.KUWAHI KULA VICHWA KULA VICHWA VINGI SIO SIFA NZURI KIJAMII HADI KWA MUNGU WAKO.
 
ina maana wewe bado ni bikra? thubutuu

ofcourse naweza sema hvyo japokuwa mimi ni mwanaume sidhani kama tutatumia neno hilo la bikra ok nipe bac anasa zako what should i do on the way 2 that world!
 
Dem kitu muhimu sana dogo haswa kwa mazingira ya chuoni uwe na m1 permanent mwaminifu ila cha msingi ni nachoona hapo ni chuo gani una kwenda maana kina aina ya vyuo ukiwa na dem ni shughuli nzito mf SUA msuli wa pale usidhani utakuwa fri na ndito yako kingine ni koz kama inabana sana temana na mambo ya madem ila kama ni kozi laini chuo kama udom aaah we jiachi kula mambo yako dogo ndo muda wako huu.
 
sema tu wenzio wamekupiga exile ukaona na ww uingie ktk fun,
kuwa makini soma kwanza tengeneza GPA nzuri ukishaanza mapenzi
ukalowea hutasoma matokeao yake sup zitakuwa kibao,gpa utapata za makarai hata chance
ya kusoma masters utakosa na hata kazi ya maana sasa hivi ushindani mkubwa,
tulia dogo sisi tungekuwa na mawazo kama yako tusingefika mbali na bado tunasoma,
nyau kabisa wazazi wanajua unasoma kumbe utawaza upupu..
 
Back
Top Bottom