Wenye wapenzi GONGO LA MBOTO pole

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
350
WanaJF ninapenda sana kuwapa pole wale wote waliokuwa wanaish au wenye ndugu jamaa na marafiki bila KUSAHAU WENYE WAPENZI. imependa kuleta safu hii ili kutiana moyo kwa kile kilichotokea so kama unamfahamu m2 m2mie ujumbe wako wa pole hapa
 
Nawapa pole ndugu zangu, jamaa zangu na marafiki kwa ujumla. Pia nawapa ushauri kuwa Dar kuna maeneo mengi wanayoweza kufanya biashara ya mayai pia. Wasijirundike sehemu moja(Gongo la mboto), wasambae maeneo mbali mbali ya jiji ili kuepusha kutokea maafa makubwa zaidi kwa watu wa jamii moja.
 
Back
Top Bottom